KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Kidogo ninashangaa!Hayo magari mengine yote huko nje yanatengenezwa na marais wa nchi hizo? Utoto mwingine bana.
Mkuu 'Figganigga' siyo mtu mgeni hapa JF. Sikuwahi kumsoma kwa nyimbo kama hizi hapa jukwaani!
Hivi inawezekana mtu kujitoa akili kirahisi namna hii?
Kwa bahati mbaya hii ndiyo hulka inayowatambulisha waTanzania wengi.