Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wantaka atajwe MBOWE kamanda alinyamazishwa na SabayaAsifiwe nani? Polepole au Bashiru?
Acha kujipendekeza. Samia kaingia juzi tu anahusikaje na utengenezaji wa hilo basi? Badala ya kupongeza wabunifu na watengenezaji unapongeza wanasiasa wasiojua A wala ZSalaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
hivi marais ni mufindi??Gari inatengenezwa kwa siku 70?
Acha utoto wewe. Toa sifa kwa rais anaestahili. Heko Hayati JPM.
Hakuna made in ila ni assembled in TZMsiturudishe kule jamaaa..!! Kule ambako mchezaji anafunga gola uwanjani anasifiwa raisi. Furthermore, ni made in Tz au assembled in Tz?
Unapata shida kuelewa nini wakati wewe ni mkongwe hapa nchini?hivi marais ni mufindi??
hivi huwa mnajipa muda wa kutumia akili kabla hamjaandika humu?Unapata shida kuelewa nini wakati wewe ni mkongwe hapa nchini?
Hujui Rais akisema Tanzania ya Viwanda ndo inatokea? Akisema Tanzania ya Bata inatokea pia?
Tusipende kujipa sifa za kitoto! Tz HATUNA kiwanda cha magari. Tuna viwanda vya kuunda bodi za mabasi na malori. Huwa tunaagiza magari toka kwa WATENGENEZAJI WA MAGARI yakiwa chassis ( chassis= frame and engine), halafu sisi tunayaundia bodi ya lori/basi. Hatujawa na uwezo wa kutengeneza chassis ambayo ndio gari yenyewe.Viwanda vyote vya magari duniani huwa ni assemblers tu. Wanasource vifaa mbalimbali vya magari kutoka kwa watengenezaji mbalimbali. Injini kutoka kwa huyu na suspension system kutoka kwa mwingine.
Duh.....Salaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
Praise&Worship Team.Salaam Wakuu,

Huyo nyumbu anadhani akimsifia Samia atakuwa amemkomoa Magufuli wakati Tanzania ya viwanda wameanza kuiimba wote tangu 2015Gari inatengenezwa kwa siku 70?
Acha utoto wewe. Toa sifa kwa rais anaestahili. Heko Hayati JPM.
Kwahio mkuu NIT wameunda hadi engine?Salaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
Hakuna kampuni ya bus inayounda injiniKwahio mkuu NIT wameunda hadi engine?
Body na rangi.vingine ni imported.Sijaelewa vizuri, body ndio imeundwa hapa ama kuanzia chassis, engine na body vyote vimeundwa hapa Tanzania?
Zegereni iko pwani ipiKiwanda kipo pwani- Eneo linaitwa Zegereni.
Fikeni mjionee.
Waweke bei reasonable Ili tusipeleke pesa China kununua body za miaka 2Hizi zipo advanced kuliko hizo za moshi, ndo maana wapo NIT kutafuta roadworthy certificates, ni kama jamaa wanataka kufanya vitu kwa umakini zaidi