Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

Msiturudishe kule jamaaa..!! Kule ambako mchezaji anafunga gola uwanjani anasifiwa raisi. Furthermore, ni made in Tz au assembled in Tz?
Ilifika mahali mtu akimpa mimba mke wake anasifiwa Rais wa kishindo cha awamu ya tano
 
Kwan hio bas imeundwa na NIT ama JN? Maana naona hapo kuna trademarks ya nyagawa na sio NIT

Screenshot_20210610_091406.jpg
 
Wataje tuwasifie. Rais Samia anasifiwa sababu ndo jicho la Tanzania duniani. Kwa niaba ya Watanzania na ndo Kiongozi. Na wewe Wasifie wanaokuongoza. Upo huru
Ukweli hii ID nikikuwa naiheshimu sana, sikujua kama ni low kiasi hiki, mpaka hapa naandika naamini imedukuliwa
 
Toyota anatumia Engine zake mwenyewe.

Mfano wa vitu anavyonunua kwa wengine ni gearbox ambazo ananunua kutoka Aisin. Lakini vitu vingi anatengeneza mwenye.
Fuel pump anatumia za nani? Siyo za mjerumani BOSCH?

Believe me,hata engine ana outsource. Hata viwanda vya ndege injini wanaoutsource.
 
Fuel pump anatumia za nani? Siyo za mjerumani BOSCH?

Believe me,hata engine ana outsource. Hata viwanda vya ndege injini wanaoutsource.
Toyota anatengeneza engine ni kweli au uwongo?

Halafu pampu hapa labda unazungumzia engine ya diesel. Engine za petrol pump haikai kwenye engine except kwa engine ambazo ni direct injection (D4) ambazo zinakuwa na pump mbilli moja kwenye tank moja juu ya engine.
 
Salaam Wakuu,

Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
Kilichukuwa made in Tanzania hapa ni basi au hii karatasi, au NIT Road Test? Na najua Tanzania hawana pumzi ya kutengeneza basi, afadhali labda wangesema assembled in Tanzania
1623319715330.png
 
Salaam Wakuu,

Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.

Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.

Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.

Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.

View attachment 1813536View attachment 1813537
kwanini wamwlita jina la MABEBERU?
Si wangeliita hata NYOTA YA CHATO?
 
Sijaelewa vizuri, body ndio imeundwa hapa ama kuanzia chassis, engine na body vyote vimeundwa hapa Tanzania?
Nadhani ni assembly's linw iko kibaha pale kama zamani wali assembles scania...
 
Salaam Wakuu,

Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.

Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.

Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.

Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.

View attachment 1813536View attachment 1813537
Hii itukumbushe sote miaka miwili iliyopita MaCCM wa Dar es Salaam walivyo mlundikia misifa ya kijinga Magufuli kwa kuwezesha ndege A380 kutua kwa dharura Dar ikielekea Mauritius wakati Terminal Three ikiendelea kujengwa. Ndege hii ndo kubwa ya abiria kuliko zote duniani na ilikuwa imetua kwa muda mfupi mara ya kwanza Tanzania wala haikuonekana tena hadi leo, Mwendazake akiwa ametuachia madege yake. MaCCM yakamsifia sana Magufuli badala ya Rais wa Mauritius kwa kupokea wageni wengi hivyo kwenye kanchi kadogo kuliko Wilaya zetu nyingi wala hayakushangaa ndege hiyo ilikuwa ya Emirates ambao kwa kukosa abiria, huleta videge vidogo Dar na KIA mara kadhaa kwa wiki. Mleta mada anazidi kuonyesha ujinga wa MaCCM wa kutojua bodi za mabasi mazuri kabisa Nchi nzimà na Kenya huko nyuma zilikuwa zinatengenezwa na Quality Garage ya Dar es Salaam. Hilo basi la Rais wetu ni moja tu na atakae lipitisha kwa matumizi ya kila siku atakuwa naye anatafuta uteuzi kwa kuua watu badala ya wasiojulikana.
 
Gari inatengenezwa kwa siku 70?

Acha utoto wewe. Toa sifa kwa rais anaestahili. Heko Hayati JPM.

Magu yeye ndio alitengeneza hilo gari, ana karakana? Angeweza kutengeneza gari angeenda kupora hela za wenye Bureau de change?
 
Back
Top Bottom