Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

Hicho kiwanda kimeanza kazi kipindi cha uporaji, hakuna kiwanda kipya ndani ya utawala mpya tusilishane matango pori
Sawa mkuu Ila tunaongea kwa facts na namba 👇

Screenshot_20210921-102138.png


Screenshot_20210921-102202.png
 
Salaam Wakuu,

Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.

Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.

Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.

Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.

View attachment 1813536View attachment 1813537
Kabla ya uongo huu wako jibu kwanza maswali haya. Je kiwanda gani kimetengeza gari hilo, Engine gear box na differential vimetengenezwa wapi? Je ni make na model gani? Au tusema basi hilo ni gari aina gani.
Nafikiri tuko kwenye hatua ya kuunganisha magari ya nje na kutengeneza bodi.
Mradi wetu wa kuunda gari za kitanzania ni ule wa nyumbu chini ya jwtz. Sijui tumefanikiwa hadi sasa kiasi gani kwenye uundaji wa mitambo muhimu kama engine gear box na differential kwenye gari hizo za nyumbu.
 
Kongole kwa kazi mzuri ni hatua kubwa. Tusibeze tu kuwa made/assembled in Tanzania. Ifahamike tu hata Japan/China sio vifaa vyote wanatengeneza wenyewe. Kunavyo wanavyoagiza nchi zingine na kuunda gari zao.
Itafute Gari ya Japan, Germany,USA au kwingine kokote kama utakuta spare sio za Taifa hilo!!...Gari za Mchina ndio pasua kichwa kabisa spare hadi kwa manufacturers wenyewe!!
 
Assembled in Tanzania!

Nioneshe kiwanda cha hizo tairi, taa, vioo kisha uje na kwenye engine yani foundry plant, bolts n nuts, rims na chassis pamoja na ma diff kisha ndio uje na conclusion kwamba ni made in Tanzania!

Kama vyote vilivuka maji toka TPA na kuja hapo NIT basi naomba ubadili title ya uzi haraka.
Sifikiri karne hizi kuna anayetengeneza kwa mawazo yako, si magari tu almost kila kitu watu wanachanganya.
 
Back
Top Bottom