Salaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537