Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

Salaam Wakuu,

Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.

Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.

Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.

Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.

View attachment 1813536View attachment 1813537
Hongera watengenezaji na wawezeshaji wa hii project. Ila cha ajabu bei ya hilo basi itakapoanza kuuzwa litakuwa linabei sawa na zile zinazotoka china au zinapishana kidogo sana kiasi kwamba bora uagize.
Huwa najiuliza kwenye bei za sukari za brazil uganda zinakuwa sawa na bei ya sukari ya TZ. Hii inaonyesha kama sio ma kodi ma ma ushuru ya BANDARINI bidhaa za nje zina bei nafuu kuliko za TZ na isitoshe hata ubora wa bidhaa za nje ukawa mzuri kuliko za ndani
 
Msiturudishe kule jamaaa..!! Kule ambako mchezaji anafunga gola uwanjani anasifiwa raisi. Furthermore, ni made in Tz au assembled in Tz?
Kweli mkuu. Wasiturudishe kule ambako focal point ya kupatwa kwa jua ilikuwa Wanging'ombe (Iringa au Njombe), watu walifika kwa wingi kuangalia. Mwendazake akasifiwa Sana as if yeye ndiye kasabqbisha.
 
Eti Tanzania tumebarikiwa viongozi 😄😄😄😄😄😄
Kiongozi kama Jiwe
Kiongozi kama Sabaya
Kiongozi kama Bashite.
Kiongozi kama Kasesela.
Dubai hawana rasilimali zaidi ya fukwe sasa ni nchi tajiri.
Tanzania tuna mirasilimali kedekede ila mpaka sasa kuna Mtanzania analipwa chini ya dola 2 kwa siku kiwandani halafu unasema tumejaaliwa viongozi.
Are you serious?
 
Nani kakudanganya? vipo baadhi ya vitu kidogo tu ndio wana source. Ila viwanda kama Toyota na wenzake, chassis, body, engine wanatengeza wenyewe in house halafu ndio kuna assembling point. Kunakuwa na department tofauti kila moja na kazi yake.
Toyota anatumia Engine zake mwenyewe.

Mfano wa vitu anavyonunua kwa wengine ni gearbox ambazo ananunua kutoka Aisin. Lakini vitu vingi anatengeneza mwenye.
 
jinga wewe, sifa zinaenda kwa kwa anaeweka mazingira mazuri kuwezesha ubunifu
mazingira yalikuwepo kabla ya yeye kuwa mtawala. si yeye elieweka.
na mtawala nyuma yake ameyakuta hayo mazingira.
 
Kweli mkuu. Wasiturudishe kule ambako focal point ya kupatwa kwa jua ilikuwa Wanging'ombe (Iringa au Njombe), watu walifika kwa wingi kuangalia. Mwendazake akasifiwa Sana as if yeye ndiye kasabqbisha.
ni kitu cha ajab sana. zile hazikuwa sifa bali unafki wa wazi wazi
 
Salaam Wakuu,

Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.

Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.

Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.

Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.

View attachment 1813536View attachment 1813537

Una maana "assembled in Tanzania?"

Kujiliwaza kwa kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa mbona hatareee?
 
Project ya kitambo, premier line tayari anayo haya mabasi anayatumia
 
Back
Top Bottom