Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba dereva aliye mafunzoni ndo “made in Tanzania”?Salaam Wakuu,
Nmeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
MI sijui 🤔Sijaelewa vizuri, body ndio imeundwa hapa ama kuanzia chassis, engine na body vyote vimeundwa hapa Tanzania?
hizi ukienda Moshi mbona kawaida tu,unaweza sema Yu Tong/Marcopolo imehamishiwa uchaganiSalaam Wakuu,
Nmeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
Mwongozo unasemaje maana wabunifu wengi hapa nchini hukutana na lungu la hawa jamaa wa miongozo.Salaam Wakuu,
Nmeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
Hongera zake Nyagawa. Kijana mzawa mpambanaji.Imeundwa na kampuni ya mzalendo Jonas Nyagawa kiwanda kipo mjini Kibaha, Pwani
Nani kakudanganya? vipo baadhi ya vitu kidogo tu ndio wana source. Ila viwanda kama Toyota na wenzake, chassis, body, engine wanatengeza wenyewe in house halafu ndio kuna assembling point. Kunakuwa na department tofauti kila moja na kazi yake.Viwanda vyote vya magari duniani huwa ni assemblers tu. Wanasource vifaa mbalimbali vya magari kutoka kwa watengenezaji mbalimbali. Injini kutoka kwa huyu na suspension system kutoka kwa mwingine.
We mjinga hujui NIT ni ya Serekali na Serekali iko chini ya SamiaUngewapongeza watengenezaji kwani huenda Samia hata hajui hili
Tatizo nyie mifalla hata habari hamjui kuiandika vizuriWe mjinga hujui NIT ni ya Serekali na Serekali iko chini ya Samia
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app