Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

Kabla ya uongo huu wako jibu kwanza maswali haya. Je kiwanda gani kimetengeza gari hilo, Engine gear box na differential vimetengenezwa wapi? Je ni make na model gani? Au tusema basi hilo ni gari aina gani.
Nafikiri tuko kwenye hatua ya kuunganisha magari ya nje na kutengeneza bodi.
Mradi wetu wa kuunda gari za kitanzania ni ule wa nyumbu chini ya jwtz. Sijui tumefanikiwa hadi sasa kiasi gani kwenye uundaji wa mitambo muhimu kama engine gear box na differential kwenye gari hizo za nyumbu.
 
Kongole kwa kazi mzuri ni hatua kubwa. Tusibeze tu kuwa made/assembled in Tanzania. Ifahamike tu hata Japan/China sio vifaa vyote wanatengeneza wenyewe. Kunavyo wanavyoagiza nchi zingine na kuunda gari zao.
Itafute Gari ya Japan, Germany,USA au kwingine kokote kama utakuta spare sio za Taifa hilo!!...Gari za Mchina ndio pasua kichwa kabisa spare hadi kwa manufacturers wenyewe!!
 
Sifikiri karne hizi kuna anayetengeneza kwa mawazo yako, si magari tu almost kila kitu watu wanachanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…