King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,581
- 1,357
Mkuu wewe zama Instagram yake mubby777 mumalizane kiutu uzima he's rich to offer you.Mmmh wewe kaka hii pesa yote afu akakucheat? How old is she? Unagharamia hadi ile mikucha? Hivi hizi bahati kwa nini hazidondokagi kwangu?
Mimi hiyo hela ningekuwa huyo dada ningekuwa natunza kidogo, baadae niliyoilitunza nakwambia nina sh ngapi nakuomba uniongezee ninunue kiwanja, unaninunulia kiwanja, nakazia hapo hapo nahakikisha mimi nisiwe kikwazo cha kulete migororo kwa familiya yako.ukinijengea nyumba nakuzalia mtoto na maisha yanaendelea.
Hata hivyo hizi bahati ni chache sana, lazima tuendelee kuzisoma humu jf.