Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

Investment yote hiyo kwa mchepuko khaaaaa


Ni udomo zege au nini

Mbona sisi wame za watu ni deal sana siku hizi.

Mkeo ulikuwa unampa sh ngapi kwa mwezi??
 
Huyu msichana ni mjanja, amefuata ushauri wa huyu ndg, kuna uzi alishauri ukidate na mme wa mtu we kula pesa yake tu.

[emoji849][emoji849][emoji849]Kumbe anatuchosha tu hapa?
 
Kwa uchumi wa Tanzania ni kichaa pekee anaweza kuhonga mchepuko kiasi hicho.
Labda uniambie kuwa umewajengea wazazi ghorofa na umesomesha ukoo wote hapo sitakupinga.
 
Acha ubinafsi inshort ulikuwa humuridhishi na hakukupenda, hafu wewe ukiwa na mke yeye abaki na Nani?
 
Kuna dem nilikuwa nae niweke rough tu hapa matumizi yake yalikuwaje
Kodi 350k
Mafuta gari 50(week)
Matumizi(chakula maana alikuwa hapend kupika 100k weeks)
Dinner za pamoja kwa wek zaid ya 200k
Nywele karibia 60k kila week
Kucha 15 kweek
Matimizi binafsi 50k week
Na mengine mengi
Halaf mpuuzi akanicheat na ex wake tena pale pale nilipompangia akafumwa na camera bila kujua
Nikamtimua na bags zake pekee maana navyompa havitoshi aende ex wake ampe


Kumuuliza why ananicheat et anadai amechoka kulala mwenyewe hivyo niache kulala kwangu na mke wangu nikalale nae wakat naanza nae anajua me ni mme wa mtu


Jana nimekutana nae Mliman city kachoka mpk anatia huruma

Muwe mna value basi mtu akiamua kuwekeza kwenu hata kama ni mme wa mtu eti


Nb: Sahiz napigana kusepa siwekezi kwa mtu mmoja tena [emoji119]
porojo tu unatafta demu mtandaoni ww kwa mkeo penyewe kula shida kwani sikupati? kamalizie hilo boma kujenga
 
Si judge sana uwezo wako wa kugegeda na amin uko vizuli. Ila kilichokufelisha APA!.. kwa huyu mchepuko ni TIME..

yes muda pesa Sio kila kitu!.. Mchepuko alihitaj muda pia wa kua na ww!. Huenda alikukubal Mno ila kuna kipind anaitaj kua na ww time ambayo ww upo kwa mkeo!..

#time [emoji799]
 
Duuuu hawa watu wanajifanya wanaishi uzunguni kumbe wanakaa uswazi tena kwenye nyumba za matofali mabichi,, usifanye unapesa ndugu nenda kasaidie watu wasio jiweza
 
Back
Top Bottom