sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Ila mkuu huu uzi unakudhalilisha wewe mwenyewe tu...hivi hukujiona ni jinga fulani hivi zuzu linaloliwa pesa? Huyo mwanamke hizo bills alizokuwa anakupa amekuona wewe ni fala isitoshe ulikuwa humridhishi ndo maana akala pesa zako na jamaa yake wa ukweli. Wewe nenda katulie na mkeo huyo ndo wa maana lakini huna sifa za kuwa real man.Kuna dem nilikuwa nae niweke rough tu hapa matumizi yake yalikuwaje
Kodi 350k
Mafuta gari 50(week)
Matumizi(chakula maana alikuwa hapend kupika 100k weeks)
Dinner za pamoja kwa wek zaid ya 200k
Nywele karibia 60k kila week
Kucha 15 kweek
Matimizi binafsi 50k week
Na mengine mengi
Halaf mpuuzi akanicheat na ex wake tena pale pale nilipompangia akafumwa na camera bila kujua
Nikamtimua na bags zake pekee maana navyompa havitoshi aende ex wake ampe
Kumuuliza why ananicheat et anadai amechoka kulala mwenyewe hivyo niache kulala kwangu na mke wangu nikalale nae wakat naanza nae anajua me ni mme wa mtu
Jana nimekutana nae Mliman city kachoka mpk anatia huruma
Muwe mna value basi mtu akiamua kuwekeza kwenu hata kama ni mme wa mtu eti
Nb: Sahiz napigana kusepa siwekezi kwa mtu mmoja tena [emoji119]
Real man hahongi pesa kizembe hivyo na ni ngumu kuachwa!!!