Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

Mkuu wewe zama Instagram yake mubby777 mumalizane kiutu uzima he's rich to offer you.
 
Kwahiyo ulivyomkuta amechoka alikuomba msaada? mwache ayatafute maisha yake, so mpaka lini ulitaka abaki na wewe, ameona hakuna future kwako, wakat wewe upo na familia yako yeye amelala peke yake, wakat hana ulemavu wowote wala kasoro yeyote!! mwache ajifunze maisha ya kujipambania!! kwan wewe umekuwa SACCOS?? nyinyi wazee mmetuharibia sana wake zetu watarajiwa.
 
Ngoja tuone!!!!
350,000+50,000+100,000+200,000+60,000+15,000+50,000=
825,000kujumlisha mengine mengi…labda 175,000
JUMLA KUU =1,000,000. KWA WEEK
KWA MWEZI 4,000,000.
KWA MWAKA 48,000,000.
Bado matumizi ya familia na yako binafsi.
Hitimisho: NINYI NDO CHANZO CHA KODI HIZI
 
Sayonara
 
Ahsante.
Maana nilishaanza kuona nyota nyota.
Kwahawa wadada wa sikuizi wala sishangai maana tumeyashuhudia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. 60k nywele in every 2 weeks na 40k kucha in every 1 month.
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…