muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Umempa msaada au umemuangalia kwa dhihaka ukasepa?..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuambia hana nyumba?350 x 10 ni 3,500. Kwa miaka mitatu unaanza msingi wa chumba na sebule tatu tena self contained.
Kama anajua ni mume wa mtu inawezekana sana tuHaiwezekani demu ukamgharamia hivi then akakucheat utskuwa unashida upande wako angalia vizuri
elle est tellement stupidec'est la vie
350 x 10 ni 3,500. Kwa miaka mitatu unaanza msingi wa chumba na sebule tatu tena self contained.
Mwanamke unamuhudumia zaidi ya 2m kwa mwezi akucheat tena kwenye nyumba uliyopangishia lazima akuona wewe ni poyoyoKama anajua ni mume wa mtu inawezekana sana tu
Mkuu hawa wadudu hawakutaki wewe ni pesa yako tu, mnaweza kupangwa watano kwa pamoja japo bado kuna wasichana wa maana, hao nawapa shikamooHawa viumbe sijui kuna shida gani wako nayo,hii ishu imenitokea juzi,apa anapiga simu mpk namuonea huruma,na nimekuta tu text anabebishan na bwege mmoja iv,kila kitu anakipata but still hawaridhiki,kama hamtaki kua small house mtuambiage.
Jamani pole, pole sana huyo mwanamke hafai kabisa na aendelee kupauka hivo hivo.....Na kwangu na za kupangisha juu bos
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shikilia haphapo rafikiJamani pole, pole sana huyo mwanamke hafai kabisa na aendelee kupauka hivo hivo.....
Anyway ulishapata mwingine lakini? Au bado Pole sana
😂😂😂😂😂 Hebu niache wewe, nampa moyo mubby asijali atapata mwingine, mbona wanawake tupo wengi tu, au nasema uongo 😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shikilia haphapo rafiki
c'est la vie