Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

Nimekutana na ex wangu akiwa kachoka

Yaaani mleta ni bwege wa karne. Unamlipia kimada mipesa yoote wakati huku una mke kweli wewe u mpumbavu si ungempa mama yako au ungepeleka kwa watoto yatima. Unzizi haumuachagi mtu salama.
Kwanza mkeo hukufunga ndoa hivyo unazini nae.
Pili mchepuko tena unazini yaani wewe ni mjinga
Umegonga kwenye mshono
 
Kuna dem nilikuwa nae niweke rough tu hapa matumizi yake yalikuwaje
Kodi 350k
Mafuta gari 50(week)
Matumizi(chakula maana alikuwa hapend kupika 100k weeks)
Dinner za pamoja kwa wek zaid ya 200k
Nywele karibia 60k kila week
Kucha 15 kweek
Matimizi binafsi 50k week
Na mengine mengi
Halaf mpuuzi akanicheat na ex wake tena pale pale nilipompangia akafumwa na camera bila kujua
Nikamtimua na bags zake pekee maana navyompa havitoshi aende ex wake ampe


Kumuuliza why ananicheat et anadai amechoka kulala mwenyewe hivyo niache kulala kwangu na mke wangu nikalale nae wakat naanza nae anajua me ni mme wa mtu


Jana nimekutana nae Mliman city kachoka mpk anatia huruma

Muwe mna value basi mtu akiamua kuwekeza kwenu hata kama ni mme wa mtu eti


Nb: Sahiz napigana kusepa siwekezi kwa mtu mmoja tena [emoji119]
Kumbe kuna watu matajiri sana hapa
 
Back
Top Bottom