Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmhDaaaaah, nime mwomba Mungu ingiliekati utuokoe tena.
Nilikuwa nimetulia sehem nasubiri foleniipungue nielekee home mida ya saa 3 hivi usiku. Akaja jamaa mmoja smart yuko poatu na begilake mgongoni.
Akawakama anapita pale nilipo, gafla akarudi pale nilipo mimi akanisalimia mambo vipi. Tukapiga piga stori mbili tatu,siwezi kuelezea mengi yanachoshatu.
Mwisho wasiku akaomba nambayangu nikamtajia. Sasa sikuhiyohiyo usiku linanitumia meseji eti linanipenda linataka nikalilawiti daaah. Nikawa natafuta jibu lakumpa niligadhabika sana lakini nikashusha temper sikulitukana.
Daah sikuamini machoyangu ingawa msj za utangulizi nilitilia mashaka nikahisi kitu lakini sikuamini. Maana aliniambia anataka aniambie kitu na labda naweza nisikipende nikamchukia na kumuona hafai kuwa rafikiyangu hapo nikashtuka nikawaza anataka kuniambia nini huyu jamaa.
Kilicho niumiza zaidi nimajibuyake baada ya kumuambia mimi sijawahi kufanya huoushetani,eti linaniambia sawa lakini hiyo ndiyo starehe yake. Nikaliambia nalishawishi liache huo ushetani liwekatika hali ya kawaida linasema haliwezi, eti haliwezi!!!, f*-@k.
Sikulijibu chochote, nimetunza meseji zake siku ya 4 leo siamini machoyangu naona kama naota yani jamaa lilivyokuwa huwezi kuamini.
Tushirikiane kumwomba Mungu nduguzangu huu ushetani uishe. Nilikuwa nasikia tu juujuu lakini nimejionea mwenyewe mbaka nikasema nimemkosea nini Mungu kunipa jaribu kama hili.
Dah!
Wanalaana ukiona hivo
Chunguza
Baba,babu,mama bibi yake alishawahi fanya huo mchezo
Hii laana mbaya sana inatafuna kizazi hadi kizaz