Nimekutana na Mchina aliyekuja kama kibarua Tanzania ila sasa yeye ni Big Boss

Samahani mimi kuna sehemu napingana nae kwenye uchezaji wa kamari wachina wanacheza kamari kuliko jamii yoyote duniani

Kwenye elimu naweza kukubaliana nae sababu elimu yetu ni yakutengeneza superviser na manager

Kwenye kutumia simu wachina wanatumia sana huende kuliko sisi


Kwenye kuabudu naona hatujapishana sana sema imani tu na tamaduni tu
 
Safi sana Mkuu,huyo mchina ni yule wa Kinyanambo C au Luganga?
 
Hiyo ya kupiga simu ni kweli kabisa yani mtu anapiga mfululizo bila kupumua hata mara saba mpaka unajiuliza huyu kapata kichaa cha ghafla,okay unaamua kupokea jitu linasema ooh mwana unaendeleaje mishe fresh...!
Wanawake sasa anapiga hata mara kumi ukipokea bila hata aibu nitumie pesa nataka kwenda saloon kama una roho ndogo unaweza mtukana ..
 
Wachina wengine ni mashushushu wa kiuchumi wa nchi yao. Wanakuwa wanakopeshwa mabilioni ya hela kuwekeza Tanzania, kutoka kwa mabosi au mabenki yao ya china kama icbc. Hayo hawezi akasema hata siku moja
Mkuu,

Hata asipokuwa shushushu hapo tumeambiwa kapewa mtaji wa kuanzisha biashara hiyo kutoka China.

Huyo si mtu wa kujilinganisha naye.
 
Huyo mchina anaitwa Tom.. Mrefu kwenda chini kifutu ana tumbo kubwa ni muongeaji sana ana nidhamu na heshima ya kinafiki sana hasa mbele ya viongozi na ni bingwa wa kujipendekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mchina anaitwa Tom.. Mrefu kwenda chini kifutu ana tumbo kubwa ni muongeaji sana ana nidhamu na heshima ya kinafiki sana hasa mbele ya viongozi na ni bingwa wa kujipendekeza na kuwasema vibaya watu weusi mbele ya wachina wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mchina anaitwa Tom.. Mrefu kwenda chini kifutu ana tumbo kubwa ni muongeaji sana ana nidhamu na heshima ya kinafiki sana hasa mbele ya viongozi na ni bingwa wa kujipendekeza na kuwasema vibaya watu weusi mbele ya wachina wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka Facebook.
 
Pole
 
Hayo ni maneno yako, werevu tumeshajua
 
Wanatumia kwa matumizi yap

Km mtu yupo busy tiktok ila ni content creator anaingiza pesa kuna shida?

Hujawaiwa pokea txt eti mi naitwa flan save namba zangu niwe naona status
 
Wanatumia kwa matumizi yap

Km mtu yupo busy tiktok ila ni content creator anaingiza pesa kuna shida?

Hujawaiwa pokea txt eti mi naitwa flan save namba zangu niwe naona status
Mkuu umefanya kazi na wanachi? Ikiwa umefanya nao kazi ungenielewa namaanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…