Nimekutana na Mchina aliyekuja kama kibarua Tanzania ila sasa yeye ni Big Boss

Amegonga penyewe!😀
 
Nikwambie kitu anachoengea mchina ni 100% lakini wachina wana ROHO MBAYA SANA Binafsi mimi siwapendi ni watu wabaya sana sana .Huyu Kapata fursa ya boss wake na anaonekana kwao ni masikini wa kutupwa .Ni kweli wa Tz ni wajinga sana sana bado wanaabudu rangi nyeupe .Mimi katika mipango yangu ya kufungua biashara bongo basi natafuta mzungu nimpe CEO .
 
tusha jua sasa badilika anza na watoto wako, acha kuwapeleka English medium daily wanapewa Homowrk, haziwasaidii
Homowork ndio nini sasa
Kama kuna elimu nzuri huko wataenda pia
Mimi wanangu wamesoma shule za bure ila sio tz
Na huku niliko shule za kulipia zipo ila za serikali ni nzuri pia na zinatoa fursa kwa kila mmoja
Tatizo kupiga ramli, yaani una assume tu huyu nae yuko sumbawanga
Mkuu tuwe tunahoji badala ya dhana
 

Upotoshaji na uongo wa huyu Mchina siwezi kuukalia kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta CEO muhindi kisha kaa pembeni uangalie biashara inavyokuwa, wazungu wenyewe wanawatumia wahindi kwenye kipengele icho

Angalia
Google, starbuck, adobe, youtube, cognizant, Wayfair, chanel, world bank, pepsi kote maCEO wana asili ya india
 
Matatizo sio hayo.Tatizo.letu watanzania,hatupati mikopo kutoka mabanki makubwa.Bila mikopo mikubwa ya kufanya biashara kubwa za viwanda na biashara nyingine,kuendelea nindoto. Ya mchana.Mkopo mkubwa wa kibiashara ndio muhimu.
 
Tafuta CEO muhindi kisha kaa pembeni uangalie biashara inavyokuwa, wazungu wenyewe wanawatumia wahindi kwenye kipengele icho

Angalia
Google, starbuck, adobe, youtube, cognizant, Wayfair, chanel, world bank, pepsi kote maCEO wana asili ya india
Tatizo hatupati mikopo mikubwa ya biashara,kama kujenga viwanda,kununua Melissa kubwa za mizigo,kufungua kampuni kubwa za ndege,kampuni kubwa za ujenzi nk.Mikopo mikubwa muhimu.
 
Ukiona hivyo ujue wanakidhi vigezo na wana cha ziada, ni wabunifu sana na sio waoga, nilichojifunza kwa wachina wengi muda wa kazi ni kazi kweli.
Sisi hatujui hiyo mikopo tutaipata wapi na kwa njia gani.Huwezi kuendelea bila mikopo mikubwa ya mabenki makubwa.Sio mkopo wa laki au milioni 5 au kumi.Mkopo ambao unawezwa kufanya biashara kubwa za kimataifa,kiwanda,kampuni kubwa za ujenzi au usafirishaji au Melissa kubwa za mizigo na abiria ....sio biahara ndogo ndogo za kupata ugali wa siku.
 
Huu ni ukweli mchungu,hii habari ya kushinda kwenye mitandao sijui kusalimia na kusubiria porojo za Wanasiasa inapoteza mda na kuwafanya watu wajinga.

Sio tuu mambo ya kusali Bali miujiza ya Wazungu,kutafuta shortcut na ujinga ujinga mwingine kama huo.

Kuna watu wanaamininkabisa eti Machadema watawafanya wawe matajiri 😁😁
 
Kuna watu humu wanabisha ooh kila tajiri kapita kwa mganga
Sasa nataka mganga wa huyo Mchina wamlete hapa
Siamini pia upumbavu huo wa kwenda kwenye nyumba ya nyasi na mganga analala chini eti anipe utajiri over my dead?
Mambo ya uganga ndio aina nyingine ya ujinga na upumbavu,hatutaki kutumia akili.

Gwajima alisema ukisikia mtu anasema ni maskini basi kichwani ndio Kuna shida
 
Cheza kama burudani baada ya kupata pesa ila sio means ya kupata pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…