Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Bora hata wewe umestuka mapema, mm nimnywaji wa pombe yani story yako zinaendana somehow na yangu..mpaka usingizi umekatika..nilikua kila nikikaa nae jionj nikitoka kibaruani naona mauza uza ya kishenzi..siku alipotaka tukalale tukapiga kinywaji akasema muda umeenda twende kwangu ulale asubuhi uamke uende kazini..aiseee! Pombe ilikata..nikakurupuka nikawa naanza kuvaa nguo..ardhi ya mule chumbani ikawa ina cheza cheza..inshort nilipotaka taa izimwe alinyoosha mguu na mpaka switch ilipo ni parefu kwenye kale kagiza nilimuona akibadilika uso mara sura hii mara ile nikawasha taa..alinibadilikia..nikalazimisha kuondoka kwani nilifika mbali sasa? Kitu cha fisi wawili wananifuata..giza totoro..milio ya wanyama..hapo ni mikocheni b dsm..ukiwa kijana una kipato na una muonekano flani ni shida sana..mungu akutangulie brother, natamani tuonane ! Hapa nahema nikiwaza nilivoteseka, kazi nikapoteza na aliniapia wakati namkataa nilimwambia sikuelewi..yani dahh nakuonea huruma..af hua wana access na simu wanajua unawasiliana na nani..
ningependa mtafutane umsaidie ndondoo kadhaa ingawaa naamini anafatiliaa hataa anachokiropokaa hapa
 
G

Duu hatari mkuu ni kweli haya mambo yapo karne hii?
 
Kaka hata sms iliyoingia muda mfupi baada ya kuandika thread hii...inazidi kuniogopesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipo ndotoni tu na kwenye movie mkuu
Baba hiyo ni Live na siku nikiwa ofisin sina hata hela ya lunch ghafla Tigopesa inasoma..yani mbwa hawa wanajua kila kitu, mkibishana kwenye sms au ukimletea jeuri siku nzima inaharibika..hata ukiwa bar nilikua nahisi napigwa viwembe na kunyolewa nywele yani nakua uncomfortable mpaka naacha kunywa pombe, kumwambia mtu siwezi yani aarrghhh zile heka heka hapana kwakweli mpaka nikiwa club namuhisi basi naanza kumtukana kwamba flani acha mambo ya kis** nge maana sometimes unahisi **** inashikwa livee!
 
Kaka hata sms iliyoingia muda mfupi baada ya kuandika thread hii...inazidi kuniogopesha

Sent using Jamii Forums mobile app
Relax..na atakufanya marafiki wote wakukimbie, time will tell..na hata ukimblock atatumia namba nyingine..mungu akulinde, amenisababishia at this age 28 sitaki mwanamke yeyote nahisi kama nae atakua wale wale tu
 
Baba hiyo ni Live na siku nikiwa ofisin sina hata hela ya lunch ghafla Tigopesa inasoma..yani mbwa hawa wanajua kila kitu, mkibishana kwenye sms au ukimletea jeuri siku nzima inaharibika..hata ukiwa bar nilikua nahisi napigwa viwembe na kunyolewa nywele yani nakua uncomfortable mpaka naacha kunywa pombe, kumwambia mtu siwezi yani aarrghhh zile heka heka hapana kwakweli mpaka nikiwa club namuhisi basi naanza kumtukana kwamba flani acha mambo ya kis** nge maana sometimes unahisi **** inashikwa livee!

pole sana ulikua hujijui ulikua una matatizo yakiakili mkuu, sivyo ulivyokua unadhani
 
Watu wa aina yenu kwenye jamii hamkosekani, hvy sishangai ila nivyema kuangalia content ya mtoa mada kuliko hvy vitu vingine haviwez kukusaidia kitu...zaidi Ni kudhihirisha namna gani una upeo mdogo wa kufikir

Sent using Jamii Forums mobile app
You got something correct..'watu wa aina yenu'..well did you expect we all genetically fools?

-Narudia hako ka 'hvy' ulikoandika ndio kakitunguu swaumu gani dogo? Mbona unaandika kama unawahi foleni ya kusukwa nywele?

-Niangalie content wakati mwenyew umesema uko njia panda? Sasa sijui unasukwa au unakula mavitunguu swaumu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Relax..na atakufanya marafiki wote wakukimbie, time will tell..na hata ukimblock atatumia namba nyingine..mungu akulinde, amenisababishia at this age 28 sitaki mwanamke yeyote nahisi kama nae atakua wale wale tu
Kuna vitu vinashahabiana...niombeeni kesho niwe vyema...niweze kuendelea. Nitakuwa chizi Sasa hv. Nina was was muda wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana ulikua hujijui ulikua una matatizo yakiakili mkuu, sivyo ulivyokua unadhani
Hahah my mum thought nina celebral malaria, ila nae alichokishuhudia ilibidi aombe likizo tutafute suluhu kwa masheikh maana ni wale wa mama kidigitali haamini kabisaa..na kwa shehe nikaambiwa ningecheleweshwa ninge danja..kosa nililofanya usiku ule nilimkiss aisee nilikuja tapika vitu vinachemka moshi..nikaambiwa endapo ningekua na janaba (ndio ilikua mara yangu ya kwanza kusikia hilo neno) kwamba ningekufa usiku ule..
 
Man eeh story zako za hivi mi naona kama movie ya kinaigeria tu
 
Back
Top Bottom