Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Hiyo profike yako ilivyo bado usifuatwe na hizo roho tu? Roho yako ilishatafuta hifadhi mapema sana kwa huyo kiumbe maana kwa mapenzi yako uliridhika kuweka picha inayoendana na tukio

Mkorintho wa 6
 
Hapa Shigongo hajahusika kweli
 
Kuna vitu vinashahabiana...niombeeni kesho niwe vyema...niweze kuendelea. Nitakuwa chizi Sasa hv. Nina was was muda wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana jamani...unaishi na nani ??kama unaishi peke yako jaribu kuishi na ndugu yako yeyote au mshikaji wako wowote,usikae mwenyewe and kikubwa na nguzo ni sala peke yake...kama unamwamini mungu hayo yote ni mapito tu..muombe sana mungu sali sana bila kuchoka,,,kila muda muite mungu hakika utakuja kuleta ushuhuda hapa...mungu hawezi kukuacha ukateseka...
 
Thanks Mkuu...nimekuelewa, nitafanya hvy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…