Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Ule uzi ilikuwa lazima awapate watu maana tunapenda umbea humu ndani acha kabisa haswa wanaume wa jf
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Haki umbea ungekuwa viwanda watz tungekuwa mbali sana.
Ule wa kusema kakutana na wadada nao ulikuwa utunzi tuu. Kapata kiki kageuza sifa.
Anajitengenezea story mwenyewe anajiumbua mwenyewe.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna mtu anaweza shindana maneno na mtoto wa kike na akashinda.[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1][emoji126][emoji126][emoji126]
Nimekoma .

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, huku kuna wanaume wana chamba hata Mwajuma nchokonoe akasome....tehteehh [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ule wa kusema kakutana na wadada nao ulikuwa utunzi tuu. Kapata kiki kageuza sifa.
Anajitengenezea story mwenyewe anajiumbua mwenyewe.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie shamshtukiaga mapeeeema hata huwa sijishughulishi tena.
Ila anajuag akuwachota vichwa maji acha kabisa.
 
Mkuu, huku kuna wanaume wana chamba hata Mwajuma nchokonoe asome....tehteehh [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika.
 
Mie shamshtukiaga mapeeeema hata huwa sijishughulishi tena.
Ila anajuag akuwachota vichwa maji acha kabisa.
Mimi nilishangaa na story zake zile za kijinga apate wanawake gani wa kumshobokea kiasi hicho. Nikajisemea tuu " wanawake tuna huruma jamani kama hadi huyu juha wamemwelewa"[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan badala aende kwenye maombi akaanza kukimbizana na matapeli na aliweka wazi ni mkristo anamwamini mungu, gafla pesa zimekwisha kabla hata mwezi haujaisha anaomba msaada
 
Mimi nilishangaa na story zake zile za kijinga apate wanawake gani wa kumshobokea kiasi hicho. Nikajisemea tuu " wanawake tuna huruma jamani kama hadi huyu juha wamemwelewa"[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ulivyosema, wanawake tuna huruma sana. Huwezi jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…