Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Mkuu inaonekana kuna udambwi udambwi mwingi. Kama utapata wasaa uianzishie nyuzi.
Wakati tuko high school kuna dada alishakutana na hao viumbe. Aliishi kwa shida sana shule. Alikua akipandisha maruhani yake utamuonea huruma. Sijui kama aliponaga maana mpaka tunamaliza form six alikua bado anazunguka kwa wachungaji amfukuze mume wake wa ujinini.
Kilichomponza alipewa Pete na huyu dada wa jini akajua Pete kweli kumbe ilikua Pete yake ya ndoa na huyo jini. Na mtoto walikua nae

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha sana.
Pole sana mkuu kwa kumbukumbu yenye simanzi ndani yake.

Aliwaeleza lkn tukio hilo, na alichukua hatua gani kwenye matibabu.

(Ukiachana na hiyo ishu ya huyo msichana pengine labda aliumwa au alipata ajali iliyopelekea kifo chake)

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu walikuwa na mvutano Kuna ambao walikuwa wanaamini na kuna ambao hawakuamini, shida ilikuwa hapo. Ila walipoenda kuchungulia kila walipokuwa wanaenda wanaambiwa amesimamiwa na jini la kike. Siku ya kuaga maiti ilikuwa ina toka jasho plus damu puani

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Nomaa
Hivi

kuna mtu anaujasiri WA Kuja kukuangalia chumbani kwako usiku wa manane? Kumbuka hakuchungulii anakuangalia nawewe unamuangalia then unapiga kelele hakimbii wala hatetereki anakuangalia nawewe unamuangalia halafu anakaa mpk dakika nne mnatoleana macho na mnaonana yeye anakuona nawewe unamuona halafu anaamua kuondoka kwa hiari yake na c kelele zako

ombea yaSikukute Hii niliita mpaka Leo SHOO YA KIBABE DIRISHANI KWANGU

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Nihatar mkuu. Nilikuwa nahadisiwa tu kumbe hv vitu vipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana usitupige fix.
Ingekuwa huyo ni Jini Kabula usingepata ujasiri wa kuja kusimulia hapa ungekuwa unatetemeka kama mwehu mida hii.

Kwanza jini na simu wapi wapi?
Hizi fairy tales zilikuwa enzi hizo za kuchapisha vitabu vya Arabian Nights au za Alfu Lela Ulela.

Sasa ni zama za teknolojia za akina Elon Musk na project zao za SpaceX, au ile ya Neuralink and brain agumentation yani kuunganisha ubongo wa binadamu na computer kisha kuuongezea uwezo ubongo na kuweza kunukuu(copy) kumbukumbu za binadamu kwenda kwenye computer.

Sasa sio zama za kusubiri utajiri wa jini mahaba bali ni zama za techprenuers.
 
Niliwahi kushirikishwa kesi moja jamaa alimuita mshenga wake kuwa aliwahi kuwa na uhusiano na mwanamke mwingine kabla ya aliyekuwa nae sasa anamsumbua kisa amemuacha anaona mwingine.

Visa tu anaemfanyia mwanamke mwenzake ambae ameolewa vya kimazingara,

Siku ambayo nimeshirikishwa nikiwa kama Rafiki wa jamaa alikuwepo mzee mwingine akasema kama mmefanya maombi na anawasumbua kuna mtaalamu Morogoro uende atakusaidia.

Ilikuja msg kwa kila mtu pale tulikuwa wanne kwamba mnajisumbua tu hamtafanikiwa. Wakati mimi huyo mwanamke simjui namsikia tu.

Haya mambo yapo na yakikukuta ndio unaamini tofauti na hapo huwezi kutambua na hivi navyoongea hiyo ndio haipo na jamaa ameyumba hata kazi hana wakati alikuwa vizuri sana na aligoma kwenda kwa huyo aliheshauliwa lkn kanisa lilishindwa kushauri mahakama ikaamuru wagawane mali walizopata.
 
Ishakuwa chai hii, kamavipi mwambie huyo jini namtaka
 
Labda hao jini wapo lakini huyu jamaa ni stori ya uongo.
 
Back
Top Bottom