Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Kwa uzoefu wako inastahili kuishia wapi?Hii itaishia kwenye maombi au kwa mchungaji kanisani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uzoefu wako inastahili kuishia wapi?Hii itaishia kwenye maombi au kwa mchungaji kanisani.
Share screenshot ya izo sms anazo kutumia kama vipi tupia hata namba yake apa tujue tuna kusaidiaje wazee wa mtandaoKaka hata sms iliyoingia muda mfupi baada ya kuandika thread hii...inazidi kuniogopesha
Sent using Jamii Forums mobile app
TunasubiriaShare screenshot ya izo sms anazo kutumia kama vipi tupia hata namba yake apa tujue tuna kusaidiaje wazee wa mtandao
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, nenda kwa Yesu hakuna lisilo wezekana kwakeUnajua nw ndo nazingatia huu ujumbe wako, akili yangu haipo sawa kwa Kweli...naona Hy majanga yako njian...Mungu aninusulu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho asubuhi amkia kanisani DAMU YA YESU ndiyo kiboko yakeAlikuwa ni yeye mwenyewe...nilikuja kugundua baadae...Kuna vitu aliniambia nikahusianisha nikapata jibu, hakimbiliki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati tuko high school kuna dada alishakutana na hao viumbe. Aliishi kwa shida sana shule. Alikua akipandisha maruhani yake utamuonea huruma. Sijui kama aliponaga maana mpaka tunamaliza form six alikua bado anazunguka kwa wachungaji amfukuze mume wake wa ujinini.
Kilichomponza alipewa Pete na huyu dada wa jini akajua Pete kweli kumbe ilikua Pete yake ya ndoa na huyo jini. Na mtoto walikua nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu angekuwa dawa huko makanisani msingetoana mapepo kila siku maana hayaishi sasa anasaidia nini?
Mimi malkia?Msamehe tu aendelee na maisha yake ewe malkia wa mamalkia
Ndugu walikuwa na mvutano Kuna ambao walikuwa wanaamini na kuna ambao hawakuamini, shida ilikuwa hapo. Ila walipoenda kuchungulia kila walipokuwa wanaenda wanaambiwa amesimamiwa na jini la kike. Siku ya kuaga maiti ilikuwa ina toka jasho plus damu puaniInasikitisha sana.
Pole sana mkuu kwa kumbukumbu yenye simanzi ndani yake.
Aliwaeleza lkn tukio hilo, na alichukua hatua gani kwenye matibabu.
(Ukiachana na hiyo ishu ya huyo msichana pengine labda aliumwa au alipata ajali iliyopelekea kifo chake)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi
kuna mtu anaujasiri WA Kuja kukuangalia chumbani kwako usiku wa manane? Kumbuka hakuchungulii anakuangalia nawewe unamuangalia then unapiga kelele hakimbii wala hatetereki anakuangalia nawewe unamuangalia halafu anakaa mpk dakika nne mnatoleana macho na mnaonana yeye anakuona nawewe unamuona halafu anaamua kuondoka kwa hiari yake na c kelele zako
ombea yaSikukute Hii niliita mpaka Leo SHOO YA KIBABE DIRISHANI KWANGU
Kijana usitupige fix.
Badala waende pm wanaongea sijui vitu gani wameniboa kweliHuu ukabila unaharibu uzi, nendeni pm mkajadili upupu wenu huko
Poor you!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁Malizia kabisa, unaweza usirudi moja kwa moja...
Niliwahi kushirikishwa kesi moja jamaa alimuita mshenga wake kuwa aliwahi kuwa na uhusiano na mwanamke mwingine kabla ya aliyekuwa nae sasa anamsumbua kisa amemuacha anaona mwingine.Kijana usitupige fix.
Ingekuwa huyo ni Jini Kabula usingepata ujasiri wa kuja kusimulia hapa ungekuwa unatetemeka kama mwehu mida hii.
Kwanza jini na simu wapi wapi?
Hizi fairy tales zilikuwa enzi hizo za kuchapisha vitabu vya Arabian Nights au za Alfu Lela Ulela.
Sasa ni zama za teknolojia za akina Elon Musk na project zao za SpaceX, au ile ya Neuralink and brain agumentation yani kuunganisha ubongo wa binadamu na computer kisha kuuongezea uwezo ubongo na kuweza kunukuu(copy) kumbukumbu za binadamu kwenda kwenye computer.
Sasa sio zama za kusubiri utajiri wa jini mahaba bali ni zama za techprenuers.
Labda hao jini wapo lakini huyu jamaa ni stori ya uongo.Niliwahi kushirikishwa kesi moja jamaa alimuita mshenga wake kuwa aliwahi kuwa na uhusiano na mwanamke mwingine kabla ya aliyekuwa nae sasa anamsumbua kisa amemuacha anaona mwingine.
Visa tu anaemfanyia mwanamke mwenzake ambae ameolewa vya kimazingara,
Siku ambayo nimeshirikishwa nikiwa kama Rafiki wa jamaa alikuwepo mzee mwingine akasema kama mmefanya maombi na anawasumbua kuna mtaalamu Morogoro uende atakusaidia.
Ilikuja msg kwa kila mtu pale tulikuwa wanne kwamba mnajisumbua tu hamtafanikiwa. Wakati mimi huyo mwanamke simjui namsikia tu.
Haya mambo yapo na yakikukuta ndio unaamini tofauti na hapo huwezi kutambua na hivi navyoongea hiyo ndio haipo na jamaa ameyumba hata kazi hana wakati alikuwa vizuri sana na aligoma kwenda kwa huyo aliheshauliwa lkn kanisa lilishindwa kushauri mahakama ikaamuru wagawane mali walizopata.