Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Dereva wa baba yangu alifanyiwa maombi mwaka Mzima kila kona unayoijua wewe, mwisho wa siku kaaga dunia. Alikuwa dereva kwa miaka 8 lakini alikuwa kama ndugu kwakweli, nikirudi kwako mkuu. Duka unalo kwanini usimuweke ndugu yako dukani? Halafu ukalifanyia maombi hilo duka lako pia. Mtu chake kwanini usiuze hio gari yako na kukusaidia kwa sasa, huoni aibu kuomba? Unasema watu wamekutapeli kwa kuona matatizo yako fursa ya kufanya utapeli. Kwanini na sisi tusihisi kama umetumia stori yako kuja kututapeli?


Ndukiiiii [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Me ntaendelea hapo chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787]

Jama lina ID 4, watu tunaosoma kwa makini tulishagundua mapema mno kwamba mwisho wa stori ni ombi la fweza au tangazo la kumsifu kalumanzila. Yani jini akupe laki tatu mara kibao juzi tu alafu leo ulie njaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Ningekuwa nakufahau ningekufata na pira nikutie lokapu kwa kucheza na hisia za watu
 
Kama huyo jini yupo humu, ebu naomba akuje PM...[emoji39] [emoji39]
 
Back
Top Bottom