Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Pole sana Kaka yangu, nimesoma uzi wako mwanzo mpaka mwisho najikuta nataka kudondokwa na machozi, pole sana kwa kipindi hiki kigumu, ila amini kwa mungu yote yanawezekana. Ushauri wangu Kaka, mruhusu mama awashilikishe watu wengine kama ulivyo tushilikisha na sisi, lakini pia nenda kanisani unakosali au popote awashilikishe watumishi wa mungu, hana uwezo wa kushindana na nguvu ya mwenyezi mungu. FANYA hivo usijekushauriwa kwenda kwengine tofauti na kanisani, ikiwezekana kabisa hata huyo EX Wako aliyekuwa kizuizi mwanzo umshilikishe japo haitakuwa rahisi kukuelewa. MUNGU AWE NA WEWE KAKA YANGU
Mbona we mwepesi sana

Unataka kutokwa na machozi kwa kitu cha kitoto hichi

Rubbish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah munzisha uzi alianzisha uzi wa sehemu ya nne peke yake nikaufunua kwa furaha,ile kufungua naletwa huku eti ule uzi umeunganishwa huku.Nimeutafuta huku nimeshindwa kuupata.

Msaada wa comment # yenye SEHEMU ya nne
 
Habari zenu wanajamvi, kipekee kabisa nipende kuwashukuru, kwa michango yenu katika ushauri juu ya tatizo lililo nikumba. Pia, namshukuru Mungu naendelea vyema kabisa, ingawaje vita ni kubwa mno...kwa sasa nimeshauriwa nisiseme chochote (sio kwa ubaya) ila ni kwa ajili ya usalama wangu pia.

Kwa wale wenye hofu na wasiwasi mm ni mzima wa afya... Ingawaje kumetokea mambo mengi sana ya kunirudisha nyuma, ikiwa ni pamoja na matapeli waliochukulia tatizo langu kama fursa. Nimepoteza pesa nyingi sana katika kutafuta suluhu la jambo langu, lakini nikiri wazi Mungu aliejuu mbinguni ashindwi na kitu, naamii atarejesha kila nilichopoteza.

Kwa sasa nimefunga biashara zangu zote (kwa muda) ili niokoe maisha yangu. Kwa sasa nipo kambini na timu ya maombi sehemu fulani (nisingependa kupataja) wananifanyia huduma. Kiukweli kabisa Vita ni kubwa mno Mama yangu kaponea chupu chupu kumpoteza.

Pia niwaweke wazi katika hili...mimi ndio msaada mkubwa katika familia yangu, matatizo haya yamesababisha ni yumbe sana kiuchumi. Hapa nilipo sina chochote (fedha) timu ya maombi inakesha usiku na mchana kunipigania..ukweli ni kwamba kama si nyinyi wana JF kunisisitiza ishu ya maombi nisingekuwa hai sasa. Naomba muendelee kuniombea pia.

Nashindwa nisemeje lkn najisikia aibu na fedhea kubwa kwa watu wanaopigania maisha yangu kushindwa kuwahudumia hata chakula na maji. Sio malipo kama wengine walivyohitaji ni bure kabisa ila hawa nao pia ni binadamu. Kama kuna yoyote ataguswa katika hili naomba aje Pm nitampa utaratibu aweze kunichagia chochote alichonacho (Nisieleweke vibaya tafadhali) kama utaguswa katika hilo naamini kabisa Mungu hatukuacha kama ulivyo ulipotoa atakuongezea mara dufu.

Nawashukuru sana kwa msaada wenu wana Jamii Forum. Niwatakie mchana mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu ya nne umeweka?
 
Mm Nipo Tayar kumchangia hela Nzuri tu ila shart aniwekeee HAPA conservations zake na huyo jini ikiwezekana na picha kabisa mana utapel umezid Humu Jf. Weka screenshots hapa Pumbafuuuuuuu
Sehemu ya nne ipo wapi?
 
Mm Nipo Tayar kumchangia hela Nzuri tu ila shart aniwekeee HAPA conservations zake na huyo jini ikiwezekana na picha kabisa mana utapel umezid Humu Jf. Weka screenshots hapa Pumbafuuuuuuu
ha ha ha ha ha
 
Haya mauza mauza, ni kweli kabisa..! Mimi ilinitokea 2007 nikiwa chuo mwaka wa 3,kama sio msaada wa karsmatiki katoliki pale Emaus, basi leo ningekuwa mfu au kitu kingine cha jab kabisa..! Pole sana brother. Pambana na maombi, usijaribu kwenda kwa mganga, hao wananguvu kuliko waganga, ila tu wachawi ndio kiboko yao..!
 
mtoa mada ningependaa uweke namba ya simu ya uyoo binti anaekusumbua pamoja na picha ya sms mlizokuwa mnachat.. usiseme kiapo ulichopewa kinakuzuia usigawe namba na kuscreenshot sms....🙂
 
Uoga ndio ukakufanya wewe kupeana pesa kwa matapeli. Nakuombea uongezeke imani, baada ya haya yote, utakiri Yesu Kristo ni jemedari mkuu, Jina zaidi ya majina yote, nguvu zaidi ya nguvu zote.

Back
Top Bottom