Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

Nimekusamehe. Haidhuru, Zimwi lenyewe nitakuwa mimi mwenyewe. Hapo vipi?
Babu niache mfyuuuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaendeleaje wakati zimwi litakuwa na wewe muda wote? Au limeacha kukutumia msg wakati unaandika?
Ngoja nilielekeze zimwi maeneo ya Goba. Labda ndo tutaheshimiana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] likuye likuye. Kwanza ya kiume yanatoaga utajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuletea la kike likusage
Sitaki litanikosesha hela bure

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nachokitaka. Linakusaga mpk kinaniliu kinaota sugu ya kumwaga maji. Unakuwa hela huna na wanaume huwataki. Gadeim!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Roho mbaya hiyo babu. Unataka mjukuu nikale wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio unitake radhi sasa.

Hivi nyie wawili mna nini??
 
Me nimeghairi....naona kuna usanii tu hapa...unaombwa useme sehemu ulipo husemi, koment inayokupa support mapema unaijibu...wacha ni_unsabusraibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio comment inayonipa support ndio najibu, no...ila naangalia comment yenye tija, nyie mnaobeza nawaacha muendelee, maana najua hata shamba haliwez kosa magugu lkn sio sababu ya mazao kutokundelea kuota. Ukija na adabu zako nitakujibu ila ukija na maswali yako yasiyokuwa na kichwa wala kiwiliwili hutuona jibu langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujatiwekea screenshot za chattings zako na huyo jini ili tujue kama si Chai isiyo na sukari hii story yako.. Ndo ulichonitapeli
Unaona sasa jinsi ulivyo naakili za funza....akili zako zinatosha kuvukia barabara tu ...upo hapa kwa ajili ya umbea na ushakunaku nothing else, that's why watu wa aina yako...sinaga muda mchafu wa kuwajibu chochote. Jifunze kuwa na positive thinking itakusaidia...jambo ambalo halina athari kwako haina haja ya kupoteza muda nalo.. unless otherwise huna cha kufanya muda wote unashinda mtandaoni kwa ajili ya udaku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeeeee funza tana

teh teh teh teh MAJINI YAMESHAKUTOKA??
 
Watu wa jf nao nikama majini na ndo unawaomba ushauri' je kama atakuwa member humu utachomokaje kwa mfano? chakufanya,piga mashine,mwambie azungushe mauno kama binadamu,kula vitu,acha kulialia,kwani hutakufa? au unasubili ugongwe na gari?
 
Back
Top Bottom