Nimekutana na “my soulmate” nikiwa nimeshaoa

Bro acha mihemko! Bro punguza nyege zitakuuwa.

Unamkosea Sana heshima Mkeo, Aiseeh!! I can't Imagine Shemeji Yangu alione hili bandiko lako sijui atakuwaje.😔

Mtu umeishi nae miaka yote iyo Leo hii unasema umekutana na soulmate wako? Uyo Malaya mwenye sura nzuri na tako ndo Soulmate? Aiseeh kuwa serious basi.

Thamini Ata iko kidogo ulichopewa na Mungu. Mtu anakuvumilia pamoja na madhaifu yako Leo unakuja kumshusha thamani sababu ya uyo Malaya wako mwenye tako ila kichwa kimejaa kamasi.

Wanaume hatupo Ivo Mkuu, Kama Ni kuchepuka chepuka Kimya kimya, Endelea kumuheshimu mkeo. Kumsemasema mkeo haipendezi Mkuu.

Be a real Man.
 
Bila picha ni Siasa tu.
 
Ulishawahi pata deep, real deep feelings unaookua na mtu? Kama hunawahi hutaelewa nnachosema
 
Hivi kweli Jf ni “home of great thinkers”
Najiuliza sana hili swali tangu huu mwaka uanze,,,, nahisi humu sio kama vile ilivyokuwa lengo la mwanzilishi,,,, kuna ujinga na upuuzi mwingi sana humu,,,,🥹🥹🥹🥹

( Kama huuu, mtu a Nakuja kusimulia ujinga na ngenye zake,)
 
Hatari... kuna mtu aliwahi kuniambia usioe kabla hujasafiri safari kwanza ili ujiridhishe.
 
Nyuki na kipepeo kamwe hawatengenezi asali.
 
Daaaa!
 
Kwa hiyo sasa?
 
Huu mtandao mimi niliufahamu baada ya kumaliza form four ikaniwia vigumu kufungua account kwasababu ya mada ambazo zilikua zinajadiliwa humu zilikua ni kubwa kuliko uwezo wangu kwa kipindi kile na watu ambao walikua wanachangia kwenye mada hizo walikua na hoja ambazo sikuwa najua walikua wanazitoa wapi, ikanibidi niwe zangu mpole tu na nikawa mpenzi msomaji na kutoka.

Mwaka 2015 mwezi wa 8/10 ndio siku ambayo nilifungua account yangu humu na hii ni baada ya kuchaguliwa kujiunga na chuo fulani hapa nchini na nilijiunga kwasababu niliona threads za vyuo zikiwa zinafunguliwa na hapo ndio nikajipa uhakika kumbe hata watu wa level yangu wapo humu 😆😆😆😆.

Nowadays jf imetoka kwenye hiyo kauli mbiu yao ya mwanzo na sasa wapo kwenye kusimamia kitu kinachoitwa uhuru wa habari na kujieleza so anyone can write anything as long as havunji sheria za nchi au za platform yenyewe yaani kumkwaza mtu yeyote.

So my brother, vitu vinabadilika kulingana na matakwa ya nyakati husika.
 
acha umalaya wewe, HIV-AIDS kills!

YESU NI BWANA&MWOKOZI
 
Uliruka stage kwenye ukuaji wako.Mtu anayejitambua asingeweza kuandika upuuzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…