Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mambo ya kutafutia mtu mke yapo mpaka karne hii ya 21?Kuna mjinga mmoja alinisumbua sana nimtafutie mke,nikamtafutia,tukamsafirisha binti wa watu,kafika kule baada ya mwez jamaa ananiambia kapigiwa simu na mwanamke aliekuwa anampenda sana,sasa anashindwa afanyeje
Nilichoka,niliapa kwasasa siwez waanganisha watu katika ndoa,binti wa watu aloteseka mno mpaka nikataman nimrudishe nimuoe mimi
wakali wa hizi mambo mnamwangalia mtoa uzi alafu mnacheka 🤣, inatakiwa hizi mambo ukutane nazo kabla ya ndoa, sasa wa kwetu karuka hatua😆Hawa vijana wa siku hizi hii bande wanayovuta ni updated aisee. Nani alikwambia wazuri wanaosha, utamuona huyo alaf watazaliwa wengine wakali zaidi ya huyo.
Ndio maana huwa tunawashauri mnapooa hakikisha unaoa mama mzuri wa watoto wako, mlezi bora wa familia. Kwa sababu kuna wakati matamanio yanaisha linabaki suala la ulezi wa familia. Acheni kusikiliza kichwa cha chini
Baki na mkeo.Wanasema “ usifunge ndoa asubuhi mana hujui nani utakutana nae jioni” hatimae kwangu jioni imefika na nimekutana na mrembo alieumbwa kwa ajiri yangu.
She is beautiful, hot, real hot. Ni anaendana na mimi yani ile couple ambayo baba na mama wote ni super handsome and beauty.
My current wife is hot but not as my soulmate, i feel sorry for my wife but, I discovered the purpose of life. Time will tell.
Hata mim nilimshangaa jamaa kunilalamikia kila muda kuwa nimuangalizie kidem cha kuoa ndo ikabid nimtafutie,cha ajabu zaidi akajifanya tena hana muda wa kuja kukiona akataka demu aende tu hivyo hivyoHayo mambo ya kutafutia mtu mke yapo mpaka karne hii ya 21?
Hivi umeniona kwenye huu uzi nikilalamika? Mimi kilicho ni vutia ni hiki.Kina Me and me, Zemanda, Natafuta Ajira, Baba Kisarii, joseph1989, hawa ndio wanaume ambao kila siku wanawalalamikia wanawake kwenye ndoa ila haya ndio mambo wanayoyafanya, lakini mlivyo wanafiki nyuzi kama hizi huwa mnajifanya hamzioni na hamkemei
Mie sijawahi lalamikia mwanamke kwenye ndoa, mwanamke aliponiletea za kuleta nilipiga chini faster.Kina @Me and me, @Zemanda, @Natafuta Ajira, @Baba Kisarii, @joseph1989, hawa ndio wanaume ambao kila siku wanawalalamikia wanawake kwenye ndoa
Sasa nini cha kukemea hapo kwenye uzi? mwanaume hata akiamua kuchepuka ni halali yake kwa sababu ndie anagharamia mahusiano.Kina Me and me, Zemanda, Natafuta Ajira, Baba Kisarii, joseph1989, hawa ndio wanaume ambao kila siku wanawalalamikia wanawake kwenye ndoa ila haya ndio mambo wanayoyafanya, lakini mlivyo wanafiki nyuzi kama hizi huwa mnajifanya hamzioni na hamkemei
kuna wakati jifanye saa mbovu tulia tuWanasema “ usifunge ndoa asubuhi mana hujui nani utakutana nae jioni” hatimae kwangu jioni imefika na nimekutana na mrembo alieumbwa kwa ajiri yangu.
She is beautiful, hot, real hot. Ni anaendana na mimi yani ile couple ambayo baba na mama wote ni super handsome and beauty.
My current wife is hot but not as my soulmate, i feel sorry for my wife but, I discovered the purpose of life. Time will tell.
AhahaSasa nini cha kukemea hapo kwenye uzi? mwanaume hata akiamua kuchepuka ni halali yake kwa sababu ndie anagharamia mahusiano.
Kama na wewe unataka kuchepuka gharamia kila kitu kwenye mahusiano yako. Hata mapenzi yakiisha au ukipata soulmate wako unakua huru kumwambia partnerbwako muachane kwa sababu hajawekeza chochote kwako.
Lakini ukitaka kuhudumiwa au kula pesa ya mwanaume jua kwamba unauza uhuru wako kwaiyo utawajibika kuwa submisive. Sio umesomeshwa, umemuingiza jamaa gharama za mahari, ushakula hela zake nyingi sana halafu ndio unataka uhuru hapo lazima amani ivulugike kama Msukuma na Pennina kule Goba
Wewe huna hoja endelea tu kuhangaika kutaka kujua maisha yangu, yani kwa akili yako unategemea humu jf nitaandika kila kitu cha ukweli kuhusu mimi ili iweje kwa mfano, na hata nikiandika uongo inahusiana vipi na hizi mada tunazojadili humu kila siku hebu nipe uhusiano nasisitiza hiloHivi umeniona kwenye huu uzi nikilalamika? Mimi kilicho ni vutia ni hiki.
View attachment 3081300
Yaani ikiwa umefika hali kama hii ya kuongopa basi ww ni wa kuonewa huruma.
Una hali mbaya sana dada yangu ila hujijui, hata wenzako humu huwaga wagumu ila baadae huelewa ila ww,saikolojikali haupo sawa.Una chuki kubwa hasa kwa wanaume ambayo umeihifazi kifuani, kwenye akili mpaka moyoni mwako, juu ya wanaume,sasa sijajua may be malezi au contents za feminism ulizo zikalili, ila hata ukiwasikiliza hao mafeminist wakubwa kwenye forum mbalimbali wana regret sana movement hizi za Ufeminism kwani wanakiri wamechangia pakubwa kuharibu ndoa na wengi wao walianza kupata akili baada ya kupata wajukuu au watoto wa kiume.
Mimi sikulazimishi sana kukubaliana na mitizamo yangu na ndio maana ninamda mrefu sana sijareply comments zako sababu ni mbishi ila nimekuacha.Nimereply juzi Comment yako baada ya kuona hii screenshot.
Nimesoma uzi kama huu,shishangai sababu hata wanawake wapo wengi hawawapendi waume zao ila kilicho wavuta kwao ni hela na wapo wengi. Wanawake wanao ingia kwenye ndoa sababu ya upendo ule wa Agape wapo wachache sana,wengi wao ni sababu za kiuchumi.
Naihifadhi hii comment tutakutana mahaliMie sijawahi lalamikia mwanamke kwenye ndoa, mwanamke aliponiletea za kuleta nilipiga chini faster.
Aiseee kwa hali hii acheni tu wanawake waendelee kuwa hivi walivyo kwahiyo mwanamke naye ni halali yake kuchepuka au hata kubambika watoto kwa sababu yeye ndiye anayefanya kazi za nyumbani pamoja na kuzaa na kulea watoto, maana sijaona uhusiano wa mwanaume kugharamika na kuchepuka yani mtu kutimiza majukumu yake ndio kunamhalalishia kufanya maovu sasa mwanaume asipogharamikia mahusiano anataka afanye jukumu gani lingine, kwahiyo kama mwanamke naye anagharamika ni haki yake kuchepuka sasa mbona hata kama wanawake wanagharamika wakichepuka bado mnawatukana kwamba ni malaya wakati nao wanatafuta pesa na mali kama nyie..halafu mkiambiwa umuhimu wenu kwa wanawake unazidi kupungua kila siku mnabisha yani mtu jukumu hilo pekee ulilonalo nalo unalitafutia sababu sasa unaenda kwenye maisha ya mwanamke kufanya nini kama siyo kuwa mzigo tu!!Sasa nini cha kukemea hapo kwenye uzi? mwanaume hata akiamua kuchepuka ni halali yake kwa sababu ndie anagharamia mahusiano.
Kama na wewe unataka kuchepuka gharamia kila kitu kwenye mahusiano yako. Hata mapenzi yakiisha au ukipata soulmate wako unakua huru kumwambia partnerbwako muachane kwa sababu hajawekeza chochote kwako.
Lakini ukitaka kuhudumiwa au kula pesa ya mwanaume jua kwamba unauza uhuru wako kwaiyo utawajibika kuwa submisive. Sio umesomeshwa, umemuingiza jamaa gharama za mahari, ushakula hela zake nyingi sana halafu ndio unataka uhuru hapo lazima amani ivulugike kama Msukuma na Pennina kule Goba
Baki na ubishi wakoAiseee kwa hali hii acheni tu wanawake waendelee kuwa hivi walivyo kwahiyo mwanamke naye ni halali yake kuchepuka au hata kubambika watoto kwa sababu yeye ndiye anayefanya kazi za nyumbani pamoja na kuzaa na kulea watoto, maana sijaona uhusiano wa mwanaume kugharamika na kuchepuka yani mtu kutimiza majukumu yake ndio kunamhalalishia kufanya maovu sasa mwanaume asipogharamikia mahusiano anataka afanye jukumu gani lingine, kwahiyo kama mwanamke naye anagharamika ni haki yake kuchepuka sasa mbona hata kama wanawake wanagharamika wakichepuka bado mnawatukana kwamba ni malaya wakati nao wanatafuta pesa na mali kama nyie..halafu mkiambiwa umuhimu wenu kwa wanawake unazidi kupungua kila siku mnabisha yani mtu jukumu hilo pekee ulilonalo nalo unalitafutia sababu sasa unaenda kwenye maisha ya mwanamke kufanya nini kama siyo kuwa mzigo tu!!