Nimekutana na “my soulmate” nikiwa nimeshaoa

Hayo mambo ya kutafutia mtu mke yapo mpaka karne hii ya 21?
 
Hawa vijana wa siku hizi hii bange wanayovuta ni updated aisee. Nani alikwambia wazuri wanaisha, utamuona huyo alaf watazaliwa wengine wakali zaidi ya huyo.

Ndiyo maana huwa tunawashauri mnapooa hakikisha unaoa mama mzuri wa watoto wako, mlezi bora wa familia. Kwa sababu kuna wakati matamanio ya mwili yanaisha linabaki suala la ulezi wa familia. Acheni kusikiliza kichwa cha chini
 
wakali wa hizi mambo mnamwangalia mtoa uzi alafu mnacheka 🤣, inatakiwa hizi mambo ukutane nazo kabla ya ndoa, sasa wa kwetu karuka hatua😆
 
Baki na mkeo.
Kumbuka: ZAFANANA!
 
.
Unachopitia kinaitwa New Relationship Infatuation.
.
Ni kile kimuhemuhe cha penzi jipya ambacho ni cha muda tu. Trust me, ukikaa nae utamzoea na utamwona wa kawaida then utaanza kutamani wanawake wengine nje ya ndoa.
 
Kina Me and me, Zemanda, Natafuta Ajira, Baba Kisarii, joseph1989, hawa ndio wanaume ambao kila siku wanawalalamikia wanawake kwenye ndoa ila haya ndio mambo wanayoyafanya, lakini mlivyo wanafiki nyuzi kama hizi huwa mnajifanya hamzioni na hamkemei
Hivi umeniona kwenye huu uzi nikilalamika? Mimi kilicho ni vutia ni hiki.

Yaani ikiwa umefika hali kama hii ya kuongopa basi ww ni wa kuonewa huruma.

Una hali mbaya sana dada yangu ila hujijui, hata wenzako humu huwaga wagumu ila baadae huelewa ila ww,saikolojikali haupo sawa.Una chuki kubwa hasa kwa wanaume ambayo umeihifazi kifuani, kwenye akili mpaka moyoni mwako, juu ya wanaume,sasa sijajua may be malezi au contents za feminism ulizo zikalili, ila hata ukiwasikiliza hao mafeminist wakubwa kwenye forum mbalimbali wana regret sana movement hizi za Ufeminism kwani wanakiri wamechangia pakubwa kuharibu ndoa na wengi wao walianza kupata akili baada ya kupata wajukuu au watoto wa kiume.

Mimi sikulazimishi sana kukubaliana na mitizamo yangu na ndio maana ninamda mrefu sana sijareply comments zako sababu ni mbishi ila nimekuacha.Nimereply juzi Comment yako baada ya kuona hii screenshot.

Nimesoma uzi kama huu,shishangai sababu hata wanawake wapo wengi hawawapendi waume zao ila kilicho wavuta kwao ni hela na wapo wengi. Wanawake wanao ingia kwenye ndoa sababu ya upendo ule wa Agape wapo wachache sana,wengi wao ni sababu za kiuchumi.
 
Kina Me and me, Zemanda, Natafuta Ajira, Baba Kisarii, joseph1989, hawa ndio wanaume ambao kila siku wanawalalamikia wanawake kwenye ndoa ila haya ndio mambo wanayoyafanya, lakini mlivyo wanafiki nyuzi kama hizi huwa mnajifanya hamzioni na hamkemei
Sasa nini cha kukemea hapo kwenye uzi? mwanaume hata akiamua kuchepuka ni halali yake kwa sababu ndie anagharamia mahusiano.

Kama na wewe unataka kuchepuka gharamia kila kitu kwenye mahusiano yako. Hata mapenzi yakiisha au ukipata soulmate wako unakua huru kumwambia partnerbwako muachane kwa sababu hajawekeza chochote kwako.

Lakini ukitaka kuhudumiwa au kula pesa ya mwanaume jua kwamba unauza uhuru wako kwaiyo utawajibika kuwa submisive. Sio umesomeshwa, umemuingiza jamaa gharama za mahari, ushakula hela zake nyingi sana halafu ndio unataka uhuru hapo lazima amani ivulugike kama Msukuma na Pennina kule Goba
 
kuna wakati jifanye saa mbovu tulia tu
 
H
Ahaha
 
Wewe huna hoja endelea tu kuhangaika kutaka kujua maisha yangu, yani kwa akili yako unategemea humu jf nitaandika kila kitu cha ukweli kuhusu mimi ili iweje kwa mfano, na hata nikiandika uongo inahusiana vipi na hizi mada tunazojadili humu kila siku hebu nipe uhusiano nasisitiza hilo

Atii nachukia wanaume kwa kipi hasa mlichonacho wanaume hadi niwachukie hayo si yatakuwa matumizi mabaya ya chuki, infact wanaume wengi humu ndio wanachukia wanawake na sisi ndio tupo kudeal na wanaume wa aina hiyo ambao wanakemea maovu ya wanawake tu ila ya wanaume wanajifanya hawayaoni, ninyi tuiteni majina yote ila hatutaacha kuwapiga spana hadi mpanic muanze kufukua nyuzi za nyuma kama hivi ili kutafuta points bado hamjasema mpaka mseme na mtasema tu

Masikini umelalamika sana hadi nimekuonea huruma, basi ngoja nikuache tu walau ujifariji na hizo comments zangu za nyuma usije ukaanza kulia bure kisa umeshindwa hoja, maana nikiendelea kushusha magazeti nakuhakikishia utadhalilika na utaenda kufukua comments nyingine ili uendelee kujifariji na uonekane nawe una hoja
Mie sijawahi lalamikia mwanamke kwenye ndoa, mwanamke aliponiletea za kuleta nilipiga chini faster.
Naihifadhi hii comment tutakutana mahali
Aiseee kwa hali hii acheni tu wanawake waendelee kuwa hivi walivyo kwahiyo mwanamke naye ni halali yake kuchepuka au hata kubambika watoto kwa sababu yeye ndiye anayefanya kazi za nyumbani pamoja na kuzaa na kulea watoto, maana sijaona uhusiano wa mwanaume kugharamika na kuchepuka yani mtu kutimiza majukumu yake ndio kunamhalalishia kufanya maovu sasa mwanaume asipogharamikia mahusiano anataka afanye jukumu gani lingine, kwahiyo kama mwanamke naye anagharamika ni haki yake kuchepuka sasa mbona hata kama wanawake wanagharamika wakichepuka bado mnawatukana kwamba ni malaya wakati nao wanatafuta pesa na mali kama nyie..halafu mkiambiwa umuhimu wenu kwa wanawake unazidi kupungua kila siku mnabisha yani mtu jukumu hilo pekee ulilonalo nalo unalitafutia sababu sasa unaenda kwenye maisha ya mwanamke kufanya nini kama siyo kuwa mzigo tu!!
 
Baki na ubishi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…