Nimekutana na “my soulmate” nikiwa nimeshaoa

Mimi nipo na mjerumani namuhudumia kila kitu anapika na kunifulia nguo na mashine kwenye Keller na ana masters ya Industrial Engineering. Mpaka kesho na mpaka kufa kwangu nitazidi kusisitiza kwa kila mwanaume. Ukimhudumia mwanamke anatakiwa akuheshimu kama baba yake. Tena ni mwelewa ninamwambia tu katika tamaduni zetu mwanaume anatakiwa awe hivi na mwanamke anatakiwa aweje. Nashukuru Mungu anaelewa. Kamwe siwezi kutetereka kifedha na kuja kumnyenyekea mke wangu. Wewe baba yako ashawahi kuja kwako ukiwa mdogo na kukuomba hela au kukulilia shida ? Mke ni mtoto wa kwanza wa baba mwenye nyumba. Kuna watu wanafikisha mpaka miaka 50 wakiwa wavulana. Nina watu wangu wa karibu wanaume wenzangu wa kusaidiana nao. Anika wangu namhudumia kila kitu na bado ananinunulia mashati mara moja moja.Tatizo una date na wavulana halafu unakuja kukandia wanaume. Rudi nyumbani mwombe mama yako akufundishe kutofautisha wanaume na wavulana.
 
maneno mengine ni kufikirika kwenye akili tu si halisi.. Eti SOUL MATE au CELL MATE ?
 
Aisee 🤔
 
Soul mate wa nyokweee..sema tu umeamua kuwa MALAYAAA
 
We dogo tulia na mkeo acha kuendekeza tamaa za kijinga.
Madhara ya kuoa na miaka 22 ndo Kama haya Sasa.
 
Sasa mbona umerudi kule kule kwenye point yangu mimi si nimetoka kusema kwamba mwanamke anatakiwa akuheshimu na atimize majukumu yake ikiwa unamhudumia tu, halafu unajiongelea wewe wakati mimi naongelea mitazamo ya wanaume wengi wa kiafrika huko vijiweni na huku mitandaoni wengi wanataka wanawake wa kusaidiana nao maisha, kwanza aliyekuambia kwamba ili mtu ajue tabia fulani za wanaume ni lazima awe amedate na wanaume wenye tabia hizo tu ni nani hebu kuwa serious rudi darasani kijana yani nimsumbue mama yangu kwa vitu vya kijinga kama hivo
 
Soulmate akiwa nje muweke ndani ndio utajua ni soulmate au trouble mate.
Cha msingi tulia na peleka machine ila usimsahau life mate wako (mkeo)
 
Mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…