Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Wewe ni mjinga huna akiliwahindi waliopo hapa ukiwachukua na kwenda kuwadondosha india hawana hata pa kwenda. kama wanapo basi wamenunua tu siku hizi. hao walikuja karne nyingi sana kabla ya wangoni hawajaja. wangoni hawajaja zamani sana, miaka ya 1800 juzi tu hapa wakati wahindi karne za nyuma kabisa. katiba ya Tanzania inamtambua mtu kuwa mtanzania (hata kama angekuwa mzungu) kama alikuwepo kabla ya uhuru kutangazwa 1961, na wengine waliozaliwa hapo baadaye au walioupata utanzania kisheria.
Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app