Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

Wewe ni mjinga huna akili

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Unakuta msukuma ana ng'ombe 1000 anampeleka mtoto chuo kwenda kusoma ualimu badala ya udaktari wa mifugo aje kuendeleza mifugo ya familia.


Matokeo yake mtoto anapangiwa kazi ya ualimu Namtumbo wakati mifugo ya familia Iko shinyanga. Siku mzee akifa na mifugo yote kwisha Habari yake

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 

Na huu ndio ukweli kuna jamaa mchaga anaenda kijijini kwao kuchukua ndugu kwa makubaliano ya miaka 3 plus kua Na ww nitakufungulia duka na kiwanja. Yupo Kkoo mtaa wa Agrey. Sio poa mpk ss katoa vijana 3 kwa style Hii. Nao Kama kawa anawambia mfanye kama nilivyo fanya mm kwenu. Kwa kipindi cha kusubilia ghalama za maisha ni kwa Kaka mkubwa. Kwa vijana wapya.
 
Ndio hivyo yaan
 
Mke wangu umeamka na hasira sana,



Usihofu ni changamoto za mimba changa utakuwa sawa.


Jinga wewe!

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
shida ni kwamba hauna akili. ngoja nikuache kama ulivyo. kwasababu ukiona mwanaume anamwita mwanaume mwenzie mke wangu, jua akili yake ni ya ajabu na ana matendo machafu na ya ajabuajabu sana. what you have written describes well the type of a person you are.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…