Nimekutana na secretary mzuri balaa Posta kidogo nichanganyikiwe wakuu

Umeanza kuchanganyikiwa
 
Nazani itoshe tu kusema vijana ni Taifa la kesho.
 
Wayne ana sema I come to my senses, after I have cummed
Huwa inaitwa post-nut clarity. Dogo mmoja kule Canada alikata shauri kukomiti suisaidi. Na njia nzuri aliyoichagua ni kwenda kujilaza kwenye njia ya treni ya mizigo. Kaenda vizuri tu majira ya saa tatu hivi asubuhi wakati treni huwa inapita saa 3 na nusu. Wakati anasubiri akaamua kuungurumisha punyeto la kuagia. Anasema siku ile alisikia utamu usio wa kawaida; na akaghairisha kabisa mpango wake wa kujiua. Alimpigia simu mpenzi wake akaja kumchukua na gari wakarudi nyumbani. Na aliapa kwamba hatakuja kujaribu kujiua tena.

Huu, nadhani, ndiyo mfano bora kabisa wa post nut clarity. Achana na ile mtu unamaliza halafu unaona kinyaa na majuto. Wakati mwingine hata huyo uliyekuwa unampelekea moto unamuona kama kinyago tu πŸ˜‚πŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Hatari sana πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…