Nimekutana na skin walker usiku wa kuamkia leo. Alikuwa binadamu, akageuka kuwa mbwa

inaonyesha vizuri sana CCTV hata ukifunga nyumbani kwako wale wachawi wanaoyeyuka na kutokea kwenye ukuta hayo yote utayaona..kitu ambacho akili yako fupi haikiamini au hujawai kushuhudia haimaanishi hicho kitu hakipo kwani uwezo wako wa akili na utambuzi ulipoishia basi wengine ndipo wanapoanzia.. fungua akili yako ujifunze usiyoyajua na sio yale tu unayojua ww na uliyokubaliana na akili yako eti ndio mwisho.!
Tatizo lenu mnadanganywa na zile videos za mitandaoni ambazo ni za kutengeneza hazina uhalisia wowote ila nyinyi mnaziamini
 
Kuna video ambayo mbwa kageuka binadamu kakamatwa kwenye CCTV, ukienda TikTok ndio utaona vizuri.

I don’t dismiss anything anymore, uhalisia ni kwamba kuna mengi hatuyajui kuhusu dunia.

Ila kuuana kwa imani za kidini ni ujinga wa akili zetu wenyewe binadamu.
 
Mimi ni mtu mkimya Sanaa...siku moja majira ya saa 7 mchana nilikatiza KATIKATI ya uwanja mkubwa shule moja ya serikali..

Uwanjani pale huwa Kuna MTI mmoja mkubwa sana ambao huwezi kuukumbatia...gafla akaonekana Binti kavalia HIJABU mpaka Chini nilipo geuka Mara ya pili nilimwona tukakutanisha macho ni mwanamke mzuri asiye mithilika (nikagundua sio KIUMBE wa kawaida)

Gafla tuka kutanisha macho nikamwangalia Chini mpaka juu miguu haionekani kashikilia mti ule mkubwa huku kanikazia macho tukaangalia Mimi nikaogopa sikumwangalia tenaa nikatembea fasta fasta mpaka nikaumaliza uwanja nilipo geuka Tena hakukua na mtu Tena kwenye ule mti.

Nikaondoka nikaenda kwenye sherehe TUMBO likaanza kuuma Nika harisha Sanaa nikapata homa Kali sanaa...siku hiyo nikawaza ikifika usiku itakuaje...nikaenda wanapo uza chair fire nikala kitimoto nikaomba mafutaa kwenye kichupa pia Nikachukua mifupa ya kitimoto nikawa natembea nayo mfukoni😊☺️

Nikachukua mavi makavu ya kitimoto nikaweka dirishani mlangoni kwa juu na kwenye kila Kona mlangoni pamoja na mifupa ya nguruwe pia nikawa kwenye mto naweka BIBLE

Baada ya hapo sikupata tenaa maluwe luwe ya jini yule..

Hii formula niliitumia mwaka mzima natembea na kipande Cha mifupa wa nguruwe

Acha tu baadae Nika achana na hiyo formula baada ya mwaka na ushee kupitaa
 
Mavi ya kitimoto dirishani na mlangoni + bible chini ya mto, Daah! hiyo combo ni hatari mkuu.
Jini mwenyewe akaona isiwe tabu aachane na wewe tu.
 
Subiri nimalize kuwagawia wote chai, hii story inaendelea tukiwa tunakunywa...
IMG-20241208-WA0024.jpg
 
Mimi ni mtu mkimya Sanaa...siku moja majira ya saa 7 mchana nilikatiza KATIKATI ya uwanja mkubwa shule moja ya serikali..

Uwanjani pale huwa Kuna MTI mmoja mkubwa sana ambao huwezi kuukumbatia...gafla akaonekana Binti kavalia HIJABU mpaka Chini nilipo geuka Mara ya pili nilimwona tukakutanisha macho ni mwanamke mzuri asiye mithilika (nikagundua sio KIUMBE wa kawaida)

Gafla tuka kutanisha macho nikamwangalia Chini mpaka juu miguu haionekani kashikilia mti ule mkubwa huku kanikazia macho tukaangalia Mimi nikaogopa sikumwangalia tenaa nikatembea fasta fasta mpaka nikaumaliza uwanja nilipo geuka Tena hakukua na mtu Tena kwenye ule mti.

Nikaondoka nikaenda kwenye sherehe TUMBO likaanza kuuma Nika harisha Sanaa nikapata homa Kali sanaa...siku hiyo nikawaza ikifika usiku itakuaje...nikaenda wanapo uza chair fire nikala kitimoto nikaomba mafutaa kwenye kichupa pia Nikachukua mifupa ya kitimoto nikawa natembea nayo mfukoni😊☺️

Nikachukua mavi makavu ya kitimoto nikaweka dirishani mlangoni kwa juu na kwenye kila Kona mlangoni pamoja na mifupa ya nguruwe pia nikawa kwenye mto naweka BIBLE

Baada ya hapo sikupata tenaa maluwe luwe ya jini yule..

Hii formula niliitumia mwaka mzima natembea na kipande Cha mifupa wa nguruwe

Acha tu baadae Nika achana na hiyo formula baada ya mwaka na ushee kupitaa
Biblia imesema nguruwe ni haramu halafu unaichanganya na mifupa mavi imekaaje hiyo!
 
Back
Top Bottom