Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawawezi kufungua akili kwani imefungwa kwenye mfumo huu:fungua akili yako ujifunze usiyoyajua
Tatizo lenu mnadanganywa na zile videos za mitandaoni ambazo ni za kutengeneza hazina uhalisia wowote ila nyinyi mnaziaminiinaonyesha vizuri sana CCTV hata ukifunga nyumbani kwako wale wachawi wanaoyeyuka na kutokea kwenye ukuta hayo yote utayaona..kitu ambacho akili yako fupi haikiamini au hujawai kushuhudia haimaanishi hicho kitu hakipo kwani uwezo wako wa akili na utambuzi ulipoishia basi wengine ndipo wanapoanzia.. fungua akili yako ujifunze usiyoyajua na sio yale tu unayojua ww na uliyokubaliana na akili yako eti ndio mwisho.!
Hivi unatuchukuliaje hadi uanze kutulisha matangoporiUme research au unabisha tu kama hayawani?
Mtu akiwa mwana CCM na akili anakuwa hanaMaji yake yamegawanya kwenye chupa huwa yanauzwa na ukiyanywa kwa kiwango kikubwa yanakupa wenge ukiona mjusi unafikiri kenge na kenge unahisi Mamba hata mtu akiinama unafikiri mbwa!
Siku zote mwenda wazimu huona wazima hawana akili!Mtu akiwa mwana CCM na akili anakuwa hana
Mavi ya kitimoto dirishani na mlangoni + bible chini ya mto, Daah! hiyo combo ni hatari mkuu.Mimi ni mtu mkimya Sanaa...siku moja majira ya saa 7 mchana nilikatiza KATIKATI ya uwanja mkubwa shule moja ya serikali..
Uwanjani pale huwa Kuna MTI mmoja mkubwa sana ambao huwezi kuukumbatia...gafla akaonekana Binti kavalia HIJABU mpaka Chini nilipo geuka Mara ya pili nilimwona tukakutanisha macho ni mwanamke mzuri asiye mithilika (nikagundua sio KIUMBE wa kawaida)
Gafla tuka kutanisha macho nikamwangalia Chini mpaka juu miguu haionekani kashikilia mti ule mkubwa huku kanikazia macho tukaangalia Mimi nikaogopa sikumwangalia tenaa nikatembea fasta fasta mpaka nikaumaliza uwanja nilipo geuka Tena hakukua na mtu Tena kwenye ule mti.
Nikaondoka nikaenda kwenye sherehe TUMBO likaanza kuuma Nika harisha Sanaa nikapata homa Kali sanaa...siku hiyo nikawaza ikifika usiku itakuaje...nikaenda wanapo uza chair fire nikala kitimoto nikaomba mafutaa kwenye kichupa pia Nikachukua mifupa ya kitimoto nikawa natembea nayo mfukoni😊☺️
Nikachukua mavi makavu ya kitimoto nikaweka dirishani mlangoni kwa juu na kwenye kila Kona mlangoni pamoja na mifupa ya nguruwe pia nikawa kwenye mto naweka BIBLE
Baada ya hapo sikupata tenaa maluwe luwe ya jini yule..
Hii formula niliitumia mwaka mzima natembea na kipande Cha mifupa wa nguruwe
Acha tu baadae Nika achana na hiyo formula baada ya mwaka na ushee kupitaa
Biblia imesema nguruwe ni haramu halafu unaichanganya na mifupa mavi imekaaje hiyo!Mimi ni mtu mkimya Sanaa...siku moja majira ya saa 7 mchana nilikatiza KATIKATI ya uwanja mkubwa shule moja ya serikali..
Uwanjani pale huwa Kuna MTI mmoja mkubwa sana ambao huwezi kuukumbatia...gafla akaonekana Binti kavalia HIJABU mpaka Chini nilipo geuka Mara ya pili nilimwona tukakutanisha macho ni mwanamke mzuri asiye mithilika (nikagundua sio KIUMBE wa kawaida)
Gafla tuka kutanisha macho nikamwangalia Chini mpaka juu miguu haionekani kashikilia mti ule mkubwa huku kanikazia macho tukaangalia Mimi nikaogopa sikumwangalia tenaa nikatembea fasta fasta mpaka nikaumaliza uwanja nilipo geuka Tena hakukua na mtu Tena kwenye ule mti.
Nikaondoka nikaenda kwenye sherehe TUMBO likaanza kuuma Nika harisha Sanaa nikapata homa Kali sanaa...siku hiyo nikawaza ikifika usiku itakuaje...nikaenda wanapo uza chair fire nikala kitimoto nikaomba mafutaa kwenye kichupa pia Nikachukua mifupa ya kitimoto nikawa natembea nayo mfukoni😊☺️
Nikachukua mavi makavu ya kitimoto nikaweka dirishani mlangoni kwa juu na kwenye kila Kona mlangoni pamoja na mifupa ya nguruwe pia nikawa kwenye mto naweka BIBLE
Baada ya hapo sikupata tenaa maluwe luwe ya jini yule..
Hii formula niliitumia mwaka mzima natembea na kipande Cha mifupa wa nguruwe
Acha tu baadae Nika achana na hiyo formula baada ya mwaka na ushee kupitaa
Acheni vituko jamvin nyie😅🤣🤣😁😂Maui huyo .Skin shifters au flesh changer.
Mzidisha vituko jamvin 😂😂😂Subiri nimalize kuwagawia wote chai, hii story inaendelea tukiwa tunakunywa...
View attachment 3173557
Na kuhusu video unasemaje!!??Mimi binafsi huwa siamini uwepo wa hivyo vitu huenda ni elusion tu
Tena ya rangiChai
video zinatengenezwa tuNa kuhusu video unasemaje!!??