Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #81
Kwani nakufahamu?Hivi unatuchukuliaje hadi uanze kutulisha matangopori
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nakufahamu?Hivi unatuchukuliaje hadi uanze kutulisha matangopori
Omba MUNGU iksikutokee mkuuMimi binafsi huwa siamini uwepo wa hivyo vitu huenda ni elusion tu
Au sioooMimi binafsi huwa siamini uwepo wa hivyo vitu huenda ni elusion tu
Hadithi njoo utamu koleaKwani nakufahamu?
Na kama itashindikana,karibuni pale Mirembe kwenye Hospitali Kuu ya magonjwa ya Akili.Hiyo kwa lugha ya kitaalam inaitwa mass psychosis, tembeleeni idara ya afya ya akili pale Muhimbili mtapata taarifa zaidi
Siku zote mwenda wazimu huona wazima hawana akili!
Google mzee BABA. Siku hizi asiyefunzwa na mamaye hufunzwa Na googleKwanza skin walker ni nini?
Ndio upeo wako ulipikomeaHadithi njoo utamu kolea
Yuko kwenye mfungo mkali wa tatu kavuViumbe wale huwa wawatokezei tu watu kwa nasibu, ni matukio yaliyopangwa, ila mama buji si huwa mwombaji? dawa yao moto wa Yesu
Na ndio mwisho wa mwaka wa kufosi 😂🤣🤣🤣🤣 ni mwendo wa dipresheni tu ila kona.
Hayo mavitu yapo na ndiyo yanaipigia CCM kura kila wakati.Mimi binafsi huwa siamini uwepo wa hivyo vitu huenda ni elusion tu
NI mama yako, wachawi wakubwa nyie, mnajidai hamyajui mnayoyafanyaKwanza skin walker ni nini?
...Yaani Walinzi washuhudie wenyewe Kisha wakunyime copy ya clip hiyo inayoonyesha Nini ?? Sababu Yao Nini ? Wanamlinda Jini ???...Au story nzima ni Uongo TU ??Usiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari letu lililokuwepo maeneo ya maegesho ya Golden Tulip, Oyster Bay.
Mwanga wa eneo la maegesho tulikiwa mkali, tukiwa umbali wa kama Meta kumi kutoka kwenye gari, tuliona mwanaume mwenye kama urefu wa futi SITA amesismama wima kwenye mlango wa nyuma wa gari yangu.
Wote tukiwa tumemkazia macho, alageuza pozi akawa kainama kama anafunga kamba za viatu, mara akageuka kuwa mbwa, na kutokomea. Wote tukapigwa na mshangao.
Mke wangu akaogopa kabisa hata kuingia kwenye gari, akawa anaogopa hata Sauti za mawimbi ya bahari.
Nikajaribu kumtuliza lakini kiwango chake cha taharuki kikawa juu sana, hadi walinzi ikabidi waje kujua kuna Nini?
Nikawaelezea tukio, wakabisha, wakasema twende kwenye CCTV camera kuangalia footage.
Basi wakaridisha video ya eneo like, na wenyewe wakaona hakika kilichotokea.
Tukajaribu kuomba copy ya kipande hicho cha video tumekataliwa.
Lakini hakika ukistaajabu ya Musa, utayaona ya uncle Firauni.
Tumefosi hadi tunaona visivyokuwepo, aaah huu mwaka na uishe tu🤣🤣🤣Na ndio mwisho wa mwaka wa kufosi 😂