Nimekutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni

Kule Geita eneo linaitwa Nyarubere kama sijakosea waliwawekea sumu kwenye maziwa wamisionari enzi zile za kueneza ukristo wale jamaa walikufa kama kuku wa mdondo .

So naunga mkono hoja yako kwa tukio lile .
Una changanya, hapo ni jamii moja inapambana mgeni adui. Wamishionary walitazamwa kama maadui na wahafidhina katika makabila mengi, sababu ukristo ulitishia mila za jamii za asili. Mfano, wamisionary walihamasisha watu wasiende kwa waganga, walipiga vita majina ya asili, walipinga kuoa wake wengi, yote haya yalitishia misingi ya jamii hizo. Kusini kule kuna mmisionary alichinjwa.
 
Wasukuma ukitaka uwachote jifanye nawe Msukuma. Kwa kuwa kabila ni kubwa we ukienda Sumve kule waambie ni Msukuma wa asili ya Chato hawapajui kabisa.

Nilikutana nao wilaya ya Malinyi kule Morogoro ndani ndani uko wako wengi nikajifanya mwenzao, bila hivyo sikuwa na competitive advantage. Na ukienda kwao jua maneno mawili matatu ya Kisukuma huku unamlaumu baba yako Msukuma (mama kabila lingine) kutokukufundisha kilugha vizuri.

Nilisoma nao shule wanapenda kilugha na undugu kuna dorms walihodhi wao, dorm #26 ni la Wasukuma wanarithishana ukienda kabila lingine utahama tu, kwanza wanaongea kilugha alafu kelele kibao hadi usiku. Ugomvi wa chakula, kuongeza msosi "round two", kulilia matunda na nyama, na kuwa mess movers ni wao.

Hata hivyo huwa hawafanani tabia na haa wao wenyewe wanakwepana, wale wa Bariadi naona Wasukuma wenzao wanawakwepa.
Wabariadi ni wanyantuzu hao. Wengi wao ni watata, wabinafsi, wajivuni na wana dharau sana.
 
wasukuma wanakoo zao na msingi wa hzo koo ni uadui. Wasukuma wa kaskazini (sukuma) hawa ni wale wa mwanza na maeneo ya shinyanga, wasukuma wa kusini (dakama) hawa ndiyo wanyamwezi wasukuma wa mashariki (keya) hawa ni wanyatunzu yaani wasukuma wa bariadi, maswa na maeneo ya kwimba mkoani mwanza pamoja na wasukuma wa magharibi (mweli) hawa ni wasumbwa na wasukuma wa geita. sengerema na na maeneo ya biharamulo na chato,
 
Wasukuma ni Taifa kubwa sana.

Nasisitiza.

Wasukuma ni Taifa kubwa sana linaweza kufanyiwa Ulinganishi na moja ya makabila makuu ambayo yameishawahi kutokea Duniani.

Yani ukiwachukua Wasukuma leo hii na kuwahamishia Ulaya, wataimeza Sweden.

Wasukuma na sweden wana share wingi wa watu.

Waswidi wako millioni 10.6 kulingana na takwimu zao, sambamba Wasukuma wako millioni 10.1 karibia asilimia 16 ya population ya Tanzania.

Na kwa msingi na mifano hiyo, piga ua, hawachafuliki. Hata ukijiondoa ufahamu kwa kiwango cha 'empty can' Yani hata ukibakiwa na fuvu.
 
Hawanaga shida na mtu mashemeji zangu mnawasingizia 😂 Kikubwa usiwavimbie tu maana wao wana makao makuu ya kuvimba. Kuna wale niliwaona Sikonge wanavaa visket na gunboats za rangu ya njano, kijani au nyekundu, wanavaa na urembo unaitwa mfode sijui mpode 🤣🤣 Aiiii wasukuma nyie!

Wabheja sana.
 
Nje ya Mada.

Jamii ya kisukuma ni jamii ambayo Kipindi niko chuo niliaminishwa kua ndio watu wakarimu na wenye upendo sana tanzania...

Huu ni moja ya uongo mkubwa zaidi kushuhudia maishani mwangu,

Wale watu wanaroho mbaya, Wachawi, Wezi, na Wasiopenda wageni kufanya lolote, Jamii ambayo ukifika kwao usipomsalimia kisukuma anakuchukia,
Jamii ambayo wanataka mgeni umnyenyekee...,
Otherwise mni prove wrong kua kuna wa maeneo na maeneo.

Suala la Ushamba Hilo siwezi lizungumzia as long halikunikera katika interactions nao zaidi ya kua fursa.
Uongo uongo uongo
 
Sio kweli
 
Siyo hereni tu hadi sketi wanavaa kabisa hao wasukuma ni hatari wakiwa porini ni kama Simba ukiingia anga zao wamekumaliza wanaoga maziwa na mkojo wa ng'ombe wana shombo la hatari.
hadi sketi wanaovaa😀😀😀

Kumbe tamaduni tu zilizopo Tanzania ni utalii tosha. Mbona wengi hatuyafahamu hayo? Tamaduni kama hizo haziwezi kuchochea utalii wa ndani na nje?
 
😉😉😃

Kuna wale niliwaona Sikonge wanavaa visket na gunboats za rangu ya njano, kijani au nyekundu, wanavaa na urembo unaitwa mfode sijui mpode 🤣🤣 Aiiii wasukuma nyie!
iu
hawa?
 
Kama utamaduni ni utajiri, Tanzania inao mwingi sana.

Nilikuwa nafahamu kuwa ni sehemu ya utamaduni wa Kimasai wanaume kutoboa masikio. Ndiyo maana nilishangaa nilipokutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni.

Hata mahali nilikokutana nao ni mshangao pia. Ni mkoa ambao unaojulikana kuwa wenyeji wake ni Waha. Namaanisha Kigoma.

Hao vijana wa Kisukuma, ambao kwa makadirio ya umri walionekana kuwa walizaliwa miaka ya elfu mbili hivi, walikuwa wamevaa hereni na mibangili mingi.

Nulipowauliza watu wanaoishi karibu nao (majirani zao ni Waha na Wasumbwa, wote wapo Kakonko Kigoma), nilielimishwa kuwa kwa Wasukuma kuvaa hereni na mibangili mkononi, ni ishara ya utajiri wa ng'ombe.

Si kila kijana wa Kisukuma anaruhusiwa kuvaa hivyo. Ni yule tu ambaye kwao kuna utajiri wa ng'ombe. Namna ya uvaaji wa mibangili mkononi na miguuni huonesha kiwango cha utajiri wao. Kwa uvaaji tu wa mibangili, unaweza ukajua idadi ya ng'ombe waliyo nayo kama ni maelfu ya ng'ombe n.k.

Labda, wakati mwingine, wasanii wa Tanzania wanaovaa hereni hawajaiga Wazungu bali wanadumisha utamaduni wao wa asili.

Kwani kuna mtu aliyekuwa anajua kuwa kuna vijana wa kabila la Wasukuma wanaovaa hereni masikioni?
Siyo issue kabisa
 
Attachments

  • Screenshot_20240204-234605~2.jpg
    Screenshot_20240204-234605~2.jpg
    119.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240204-234648~2.jpg
    Screenshot_20240204-234648~2.jpg
    89.7 KB · Views: 2
Kama utamaduni ni utajiri, Tanzania inao mwingi sana.

Nilikuwa nafahamu kuwa ni sehemu ya utamaduni wa Kimasai wanaume kutoboa masikio. Ndiyo maana nilishangaa nilipokutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni.

Hata mahali nilikokutana nao ni mshangao pia. Ni mkoa ambao unaojulikana kuwa wenyeji wake ni Waha. Namaanisha Kigoma.

Hao vijana wa Kisukuma, ambao kwa makadirio ya umri walionekana kuwa walizaliwa miaka ya elfu mbili hivi, walikuwa wamevaa hereni na mibangili mingi.

Nulipowauliza watu wanaoishi karibu nao (majirani zao ni Waha na Wasumbwa, wote wapo Kakonko Kigoma), nilielimishwa kuwa kwa Wasukuma kuvaa hereni na mibangili mkononi, ni ishara ya utajiri wa ng'ombe.

Si kila kijana wa Kisukuma anaruhusiwa kuvaa hivyo. Ni yule tu ambaye kwao kuna utajiri wa ng'ombe. Namna ya uvaaji wa mibangili mkononi na miguuni huonesha kiwango cha utajiri wao. Kwa uvaaji tu wa mibangili, unaweza ukajua idadi ya ng'ombe waliyo nayo kama ni maelfu ya ng'ombe n.k.

Labda, wakati mwingine, wasanii wa Tanzania wanaovaa hereni hawajaiga Wazungu bali wanadumisha utamaduni wao wa asili.

Kwani kuna mtu aliyekuwa anajua kuwa kuna vijana wa kabila la Wasukuma wanaovaa hereni masikioni?
sio kihomoka kweli hapo
 
Kati ya makabila wapo poa sana ni Wasukuma sema hapo kati pana kabila moja lilijichanganya sijui la Kagera lile nao wakaja na mguu wa Wasukuma kwenye Siasa ila mitembeo yao ikawa tofauti kabisa na Wasukuma...
 
ulishafika maeneo yapi ya usukumani? Fafanua hapo kwenye kunyenyekewa? Wasukuma uchawi na imani hizo ni kwa watu wote wa vijijini ila msukuma halogi kwa kuonea. Mengine ni hulka ila sio ubaya, msukuma ni mtu cautious sana hasa kwa asiye msukuma, ndio huwa na amani pale stranger akizungumza lugha yake. Uchoyo msukuma hana, sababu ni mzalishaji na mambo ya bajeti hana.
Bariadi mjini na Itilima, jamii wanaita wanyantuzu, Sio mimi tuu mgeni, hata baadhi ya Wasukuma wenzanao wanawasema.
 
Kama utamaduni ni utajiri, Tanzania inao mwingi sana.

Nilikuwa nafahamu kuwa ni sehemu ya utamaduni wa Kimasai wanaume kutoboa masikio. Ndiyo maana nilishangaa nilipokutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni.

Hata mahali nilikokutana nao ni mshangao pia. Ni mkoa ambao unaojulikana kuwa wenyeji wake ni Waha. Namaanisha Kigoma.

Hao vijana wa Kisukuma, ambao kwa makadirio ya umri walionekana kuwa walizaliwa miaka ya elfu mbili hivi, walikuwa wamevaa hereni na mibangili mingi.

Nulipowauliza watu wanaoishi karibu nao (majirani zao ni Waha na Wasumbwa, wote wapo Kakonko Kigoma), nilielimishwa kuwa kwa Wasukuma kuvaa hereni na mibangili mkononi, ni ishara ya utajiri wa ng'ombe.

Si kila kijana wa Kisukuma anaruhusiwa kuvaa hivyo. Ni yule tu ambaye kwao kuna utajiri wa ng'ombe. Namna ya uvaaji wa mibangili mkononi na miguuni huonesha kiwango cha utajiri wao. Kwa uvaaji tu wa mibangili, unaweza ukajua idadi ya ng'ombe waliyo nayo kama ni maelfu ya ng'ombe n.k.

Labda, wakati mwingine, wasanii wa Tanzania wanaovaa hereni hawajaiga Wazungu bali wanadumisha utamaduni wao wa asili.

Kwani kuna mtu aliyekuwa anajua kuwa kuna vijana wa kabila la Wasukuma wanaovaa hereni masikioni?
Hao wamejaa sana Maeneo ya Malinyi Morogoro mpaka liwale Lindi....Wanavaa hadi Shanga muda mwingine. Ni wakorofi na riho ngumu kupindukia nimeshuhudia zaidi ya mara moja wanaua wenyeji wanaowazingua kulisha mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima
 
Back
Top Bottom