Nimekutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni

Nimekutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni

Nje ya Mada.

Jamii ya kisukuma ni jamii ambayo Kipindi niko chuo niliaminishwa kua ndio watu wakarimu na wenye upendo sana tanzania... na kweli sikusita kuamini kwa reference ya rafiki zangu wawili chuo.

Huu ni moja ya uongo mkubwa zaidi kushuhudia maishani mwangu, otherwise niambiwe kua kua Kuna ukanda na ukanda.

Wale watu wanaroho mbaya, Wachawi, Wezi, na Wasiopenda wageni kufanya lolote, Jamii ambayo ukifika kwao usipomsalimia kisukuma anakuchukia,
Jamii ambayo wanataka mgeni umnyenyekee...,
Otherwise mni prove wrong kua kuna wa maeneo na maeneo lakini nilishuhudia hayo, Bariadi kwa wanaowaita sijui wanyantuzu.

Suala la Ushamba Hilo siwezi lizungumzia as long halikunikera katika interactions nao zaidi ya kua fursa...

Potelea kote, lawama hapewi mbuzi, nirogeni na humu.
Wanyantuzu wengi wanaroho za sheteni sipingi
 
Vilevile ninyi ni wachafu, wazandiki, roho mbay na hatuwapendi
 
Kama utamaduni ni utajiri, Tanzania inao mwingi sana.

Nilikuwa nafahamu kuwa ni sehemu ya utamaduni wa Kimasai wanaume kutoboa masikio. Ndiyo maana nilishangaa nilipokutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni.

Hata mahali nilikokutana nao ni mshangao pia. Ni mkoa ambao unaojulikana kuwa wenyeji wake ni Waha. Namaanisha Kigoma.

Hao vijana wa Kisukuma, ambao kwa makadirio ya umri walionekana kuwa walizaliwa miaka ya elfu mbili hivi, walikuwa wamevaa hereni na mibangili mingi.

Nulipowauliza watu wanaoishi karibu nao (majirani zao ni Waha na Wasumbwa, wote wapo Kakonko Kigoma), nilielimishwa kuwa kwa Wasukuma kuvaa hereni na mibangili mkononi, ni ishara ya utajiri wa ng'ombe.

Si kila kijana wa Kisukuma anaruhusiwa kuvaa hivyo. Ni yule tu ambaye kwao kuna utajiri wa ng'ombe. Namna ya uvaaji wa mibangili mkononi na miguuni huonesha kiwango cha utajiri wao. Kwa uvaaji tu wa mibangili, unaweza ukajua idadi ya ng'ombe waliyo nayo kama ni maelfu ya ng'ombe n.k.

Labda, wakati mwingine, wasanii wa Tanzania wanaovaa hereni hawajaiga Wazungu bali wanadumisha utamaduni wao wa asili.

Kwani kuna mtu aliyekuwa anajua kuwa kuna vijana wa kabila la Wasukuma wanaovaa hereni masikioni?
Yes wasukuma wamevaa heleni na bangili enzi na enzi kabla ya wazungu
 
Nje ya Mada.

Jamii ya kisukuma ni jamii ambayo Kipindi niko chuo niliaminishwa kua ndio watu wakarimu na wenye upendo sana tanzania... na kweli sikusita kuamini kwa reference ya rafiki zangu wawili chuo.

Huu ni moja ya uongo mkubwa zaidi kushuhudia maishani mwangu, otherwise niambiwe kua kua Kuna ukanda na ukanda.

Wale watu wanaroho mbaya, Wachawi, Wezi, na Wasiopenda wageni kufanya lolote, Jamii ambayo ukifika kwao usipomsalimia kisukuma anakuchukia,
Jamii ambayo wanataka mgeni umnyenyekee...,
Otherwise mni prove wrong kua kuna wa maeneo na maeneo lakini nilishuhudia hayo, Bariadi kwa wanaowaita sijui wanyantuzu.

Suala la Ushamba Hilo siwezi lizungumzia as long halikunikera katika interactions nao zaidi ya kua fursa...

Potelea kote, lawama hapewi mbuzi, nirogeni na humu.
Yana roho mbaya mno
 
We utakuwa ulikutana na wachaga wanaojifanya Wasukuma

Nimewahi kuishi kwa wasukuma wakiwa hawanijui wala siwajui, nilipewa hifadhi ambayo sikuitarajia.

-Wanao upole wa asili
-Wako tayari kujishusha wakikosea
-Wasikivu
-Mkikubaliana jambo wanatekeleza
-Sio wezi (wapo wachache ambao ni tabia binafsi)

Kitu nilichojifunza ni kuheshimu taratibu zao, sisi tunajifanya wa mjini tukienda vijijini tunajikuta walimu wa maisha na kuanza kukosoa maisha yao, hapo lazima watakuchukia.

Mimi nilikuwa najifanya mjuaji kwa kuwasema sana kuhusu kuzaa watoto wengi, nikajikuta naanza kuwapoteza baadhi ya watu ambao mwanzo walikuwa wananikarimu vizuri. Ikabidi niache hiyo tabia.

Wewe ukienda kwao wanaheshimu utaratibu wako wala hawatokushawishi uuache, sisi tunaponzwa na ujuaji wa kijinga eti Kwasababu tumeishi mijini.
 
Ukienda Wilaya ya Mpimbwe mkoa wa Katavi kuna sehemu inaitwa majimoto huko wasukuma wa kiume wanavaa sketi kabisa
Hapo majimoto wanaume wa kisukuma wanavaa sketi za kushonesha kabisaa...wanavaa hereni kubwa kama za Miriam Odemba na wanavaa rain buti asubuhi moka asubuhi
 
Hao wamejaa sana Maeneo ya Malinyi Morogoro mpaka liwale Lindi....Wanavaa hadi Shanga muda mwingine. Ni wakorofi na riho ngumu kupindukia nimeshuhudia zaidi ya mara moja wanaua wenyeji wanaowazingua kulisha mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima
Aisee
 
Mbasalama
Mbakunilinda
Mbasosya ng'ombe
Mbasosya mbahema
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji94][emoji94][emoji94][emoji94]
 
Back
Top Bottom