Nimekutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni

Kule Geita eneo linaitwa Nyarubere kama sijakosea waliwawekea sumu kwenye maziwa wamisionari enzi zile za kueneza ukristo wale jamaa walikufa kama kuku wa mdondo .

So naunga mkono hoja yako kwa tukio lile .
Una changanya, hapo ni jamii moja inapambana mgeni adui. Wamishionary walitazamwa kama maadui na wahafidhina katika makabila mengi, sababu ukristo ulitishia mila za jamii za asili. Mfano, wamisionary walihamasisha watu wasiende kwa waganga, walipiga vita majina ya asili, walipinga kuoa wake wengi, yote haya yalitishia misingi ya jamii hizo. Kusini kule kuna mmisionary alichinjwa.
 
Wabariadi ni wanyantuzu hao. Wengi wao ni watata, wabinafsi, wajivuni na wana dharau sana.
 
Nimemkuta mmoja anaoga Mtoni kavalishwa Bangili sehemu ya siri nikajiuliza sijui kasukuma vizazi vingapi mpaka wamvishe?
 
wasukuma wanakoo zao na msingi wa hzo koo ni uadui. Wasukuma wa kaskazini (sukuma) hawa ni wale wa mwanza na maeneo ya shinyanga, wasukuma wa kusini (dakama) hawa ndiyo wanyamwezi wasukuma wa mashariki (keya) hawa ni wanyatunzu yaani wasukuma wa bariadi, maswa na maeneo ya kwimba mkoani mwanza pamoja na wasukuma wa magharibi (mweli) hawa ni wasumbwa na wasukuma wa geita. sengerema na na maeneo ya biharamulo na chato,
 
Wasukuma ni Taifa kubwa sana.

Nasisitiza.

Wasukuma ni Taifa kubwa sana linaweza kufanyiwa Ulinganishi na moja ya makabila makuu ambayo yameishawahi kutokea Duniani.

Yani ukiwachukua Wasukuma leo hii na kuwahamishia Ulaya, wataimeza Sweden.

Wasukuma na sweden wana share wingi wa watu.

Waswidi wako millioni 10.6 kulingana na takwimu zao, sambamba Wasukuma wako millioni 10.1 karibia asilimia 16 ya population ya Tanzania.

Na kwa msingi na mifano hiyo, piga ua, hawachafuliki. Hata ukijiondoa ufahamu kwa kiwango cha 'empty can' Yani hata ukibakiwa na fuvu.
 
Hawanaga shida na mtu mashemeji zangu mnawasingizia πŸ˜‚ Kikubwa usiwavimbie tu maana wao wana makao makuu ya kuvimba. Kuna wale niliwaona Sikonge wanavaa visket na gunboats za rangu ya njano, kijani au nyekundu, wanavaa na urembo unaitwa mfode sijui mpode 🀣🀣 Aiiii wasukuma nyie!

Wabheja sana.
 
Uongo uongo uongo
 
Sio kweli
 
Siyo hereni tu hadi sketi wanavaa kabisa hao wasukuma ni hatari wakiwa porini ni kama Simba ukiingia anga zao wamekumaliza wanaoga maziwa na mkojo wa ng'ombe wana shombo la hatari.
hadi sketi wanaovaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kumbe tamaduni tu zilizopo Tanzania ni utalii tosha. Mbona wengi hatuyafahamu hayo? Tamaduni kama hizo haziwezi kuchochea utalii wa ndani na nje?
 
Siyo issue kabisa
 

Attachments

  • Screenshot_20240204-234605~2.jpg
    119.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240204-234648~2.jpg
    89.7 KB · Views: 2
sio kihomoka kweli hapo
 
Kati ya makabila wapo poa sana ni Wasukuma sema hapo kati pana kabila moja lilijichanganya sijui la Kagera lile nao wakaja na mguu wa Wasukuma kwenye Siasa ila mitembeo yao ikawa tofauti kabisa na Wasukuma...
 
Bariadi mjini na Itilima, jamii wanaita wanyantuzu, Sio mimi tuu mgeni, hata baadhi ya Wasukuma wenzanao wanawasema.
 
Hao wamejaa sana Maeneo ya Malinyi Morogoro mpaka liwale Lindi....Wanavaa hadi Shanga muda mwingine. Ni wakorofi na riho ngumu kupindukia nimeshuhudia zaidi ya mara moja wanaua wenyeji wanaowazingua kulisha mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…