Nimekutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni

Wanyantuzu wengi wanaroho za sheteni sipingi
 
Vilevile ninyi ni wachafu, wazandiki, roho mbay na hatuwapendi
 
Yes wasukuma wamevaa heleni na bangili enzi na enzi kabla ya wazungu
 
Yana roho mbaya mno
 
We utakuwa ulikutana na wachaga wanaojifanya Wasukuma

Nimewahi kuishi kwa wasukuma wakiwa hawanijui wala siwajui, nilipewa hifadhi ambayo sikuitarajia.

-Wanao upole wa asili
-Wako tayari kujishusha wakikosea
-Wasikivu
-Mkikubaliana jambo wanatekeleza
-Sio wezi (wapo wachache ambao ni tabia binafsi)

Kitu nilichojifunza ni kuheshimu taratibu zao, sisi tunajifanya wa mjini tukienda vijijini tunajikuta walimu wa maisha na kuanza kukosoa maisha yao, hapo lazima watakuchukia.

Mimi nilikuwa najifanya mjuaji kwa kuwasema sana kuhusu kuzaa watoto wengi, nikajikuta naanza kuwapoteza baadhi ya watu ambao mwanzo walikuwa wananikarimu vizuri. Ikabidi niache hiyo tabia.

Wewe ukienda kwao wanaheshimu utaratibu wako wala hawatokushawishi uuache, sisi tunaponzwa na ujuaji wa kijinga eti Kwasababu tumeishi mijini.
 
Ukienda Wilaya ya Mpimbwe mkoa wa Katavi kuna sehemu inaitwa majimoto huko wasukuma wa kiume wanavaa sketi kabisa
Hapo majimoto wanaume wa kisukuma wanavaa sketi za kushonesha kabisaa...wanavaa hereni kubwa kama za Miriam Odemba na wanavaa rain buti asubuhi moka asubuhi
 
Hao wamejaa sana Maeneo ya Malinyi Morogoro mpaka liwale Lindi....Wanavaa hadi Shanga muda mwingine. Ni wakorofi na riho ngumu kupindukia nimeshuhudia zaidi ya mara moja wanaua wenyeji wanaowazingua kulisha mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima
Aisee
 
Mbasalama
Mbakunilinda
Mbasosya ng'ombe
Mbasosya mbahema
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji94][emoji94][emoji94][emoji94]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…