gluckkcom
JF-Expert Member
- Jun 21, 2019
- 361
- 787
Na maanisha mistari iliyopo kwenye viganja vya mikonoUna maana gani kusema harama za mikono yote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na maanisha mistari iliyopo kwenye viganja vya mikonoUna maana gani kusema harama za mikono yote?
Mna vichogo wote wawili tumejuaHata mimi na wangu tuna "coincidence" yetu ila siwezi kuisema hapa....[emoji23]
Hata kufa watakufa pamojaSiku kadhaa zilizopita, kuna wanandoa wawili walikuja kupata huduma ofisi ninayofanyia kazi. Katika huduma hiyo kuna fomu walitakiwa kujaza kila mmoja, na kulikuwa na k kipengele cha kuzaja tarehe ya kuzaliwa.
Baada ya kuzipitia fomu hizo, nilipofika kwenye kipengele cha trehe ya kuzaliwa nikaona wote wamejaza tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa vikiwa vina fanana.
Nikafikiri, labda mmoja wao amekosea akajaza tarehe ya mwenza wake kwa bahati mbaya. Lakini walinihakikishia kuwa hawajakosea, vile walivyojaza ndivyo ilivyo.
Katika kuhakikisha juu ya jambo hilo walinionyesha na vyeti vyao vya kuzaliwa. Vyeti ambavyo walitengenezewa na wazazi wao wakati wao wakiwa bado wadogo.
Nilijaribu kufikiria kuwa huwenda vyeti hivi wangevishughulikia/kuvitengeneza wenyewe wakiwa watu wazima, labda wangeweza kuweka tarehe za kufanana ili kijitengenezea "coincidence"
Ukweli nilistaajabu. Je, na wewe umewahi kukutana na "coincindence" ya aina hiyo? Au nyingine yoyote? Tushirikishe tafadhali.
Utapata faida gani,wakiachana?????![emoji1][emoji1]nakazia apo
WATAACHANA TU
Hii huwa inatokea kwa mambo mengi sana. Binafsi imenitokea kwa mazingira matukio na matamshiAjabu iliyonitokea kuna mwaka nilisafiri
Nikiwa lounge nikisubiri mda kuna mzee alikuwa amekaa karibu
Kwa mda ulikuwa ni mrefu sikuweza kusahau sura yake
Miaka miwili baadae sehemu ile tena nikalutana na yule mzee
Nilishtuka sana na kujiuliza je siku ziliganda? [emoji23][emoji23]
😝 Refer to kamusi ya TUKIUna maana gani kusema harama za mikono yote?
Nyie mlizaliwa mwisho wa mwakamama yangu amezamiliwa 20th november
mimi 22nd november
my wife 22nd november
my daughter 24th november
Ndo tabia zetu hizo ,Mtu mweusi akipata tatizo , anatamani kila mtu apitie hali hiyo.Why are you too pessimistic?
Deja vuAjabu iliyonitokea kuna mwaka nilisafiri
Nikiwa lounge nikisubiri mda kuna mzee alikuwa amekaa karibu
Kwa mda ulikuwa ni mrefu sikuweza kusahau sura yake
Miaka miwili baadae sehemu ile tena nikalutana na yule mzee
Nilishtuka sana na kujiuliza je siku ziliganda? [emoji23][emoji23]
Una tabia mbaya, nitachukua hatua dhidi yako.Siku kadhaa zilizopita, kuna wanandoa wawili walikuja kupata huduma ofisi ninayofanyia kazi. Katika huduma hiyo kuna fomu walitakiwa kujaza kila mmoja, na kulikuwa na k kipengele cha kuzaja tarehe ya kuzaliwa.
Baada ya kuzipitia fomu hizo, nilipofika kwenye kipengele cha trehe ya kuzaliwa nikaona wote wamejaza tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa vikiwa vina fanana.
Nikafikiri, labda mmoja wao amekosea akajaza tarehe ya mwenza wake kwa bahati mbaya. Lakini walinihakikishia kuwa hawajakosea, vile walivyojaza ndivyo ilivyo.
Katika kuhakikisha juu ya jambo hilo walinionyesha na vyeti vyao vya kuzaliwa. Vyeti ambavyo walitengenezewa na wazazi wao wakati wao wakiwa bado wadogo.
Nilijaribu kufikiria kuwa huwenda vyeti hivi wangevishughulikia/kuvitengeneza wenyewe wakiwa watu wazima, labda wangeweza kuweka tarehe za kufanana ili kijitengenezea "coincidence"
Ukweli nilistaajabu. Je, na wewe umewahi kukutana na "coincindence" ya aina hiyo? Au nyingine yoyote? Tushirikishe tafadhali.
Hakika waafrika tuna shida sana mkuuNdo tabia zetu hizo ,Mtu mweusi akipata tatizo , anatamani kila mtu apitie hali hiyo.
Its all about Crab mentality, 'if I can't have it ,neither can you'
Una maana gani kusema harama za mikono yote?
Kihusu alama za mokono, je mko group moja la damu?Mimi na wife pia tunafanana tarehe na mwezi wa kuzaliwa tofauti ni mwaka tu.
Wote tumezaliwa tarehe 7/04
Na kingine tunafanana alama za mikono yote
Nimeijua wala usiseme[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata mimi na wangu tuna "coincidence" yetu ila siwezi kuisema hapa....[emoji23]