Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Nimemuona Z. Anto Ubungo, sio yule tena superstar wa binti kiziwi ama kweli mawingu sio watu wazuri, sijui mwenzake MB Dogg yupo wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona yuko powah tu ana fremu zake zaidi ya 110 kigamboniNimemuona Z. Anton Ubungo, sio yule tena superstar wa binti kiziwi ama kweli mawingu sio watu wazuri, sijui mwenzake MB Dogg yupo wapi
umeandika nini sasa hapaNimemuona Z. Anton Ubungo, sio yule tena superstar wa binti kiziwi ama kweli mawingu sio watu wazuri, sijui mwenzake MB Dogg yupo wapi
Aliimba binti kiziwi, ila nadhani viziwi hawakuusikia huo wimbo.Z Anton ndo nani?
kafanya nini? sasa inawezekana vipi akawa vilevile kama wa binti kiziwi?wanyama na mimea hupitia mabadiliko kila leo...sasa nakushangaa unaposhangaa mabadiliko ya mnyama...Nimemuona Z. Anton Ubungo, sio yule tena superstar wa binti kiziwi ama kweli mawingu sio watu wazuri, sijui mwenzake MB Dogg yupo wapi
Nimemuona Z. Anton Ubungo, sio yule tena superstar wa binti kiziwi ama kweli mawingu sio watu wazuri, sijui mwenzake MB Dogg yupo wapi
Labda hakupaka poda.Jamaa mbona yupo poa tu kiuchumi au wewe amekusikitisha kwa lipi labda?
Nimemuona Z. Anton Ubungo, sio yule tena superstar wa binti kiziwi ama kweli mawingu sio watu wazuri, sijui mwenzake MB Dogg yupo wapi
Labda alipigwa chini na jini, akachukua Mali zake,maana wabongo Kwa usaliti ni nomaNimemuona Z. Anton Ubungo, sio yule tena superstar wa binti kiziwi ama kweli mawingu sio watu wazuri, sijui mwenzake MB Dogg yupo wapi
Unazijua fremu 1000 ama unatamka tu Mkuu?Mbona yuko powah tu ana fremu zake zaidi ya 110 kigamboni