Nimekutana na Z.Anton Ubungo, aiseee inasikitisha Sana

Nimekutana na Z.Anton Ubungo, aiseee inasikitisha Sana

kafanya nini? sasa inawezekana vipi akawa vilevile kama wa binti kiziwi?wanyama na mimea hupitia mabadiliko kila leo...sasa nakushangaa unaposhangaa mabadiliko ya mnyama...

Halafu wewe ndiye yule producer? Kila mara ni kuanzisha thread....lakini utazoea tuu
Aiseee
 
Mbona jamaa yupo poa na mishe zake za kawaida, au mleta mada ulikua unataka aweje. Jamani Tambueni kunamda mtu anakua bize na utafutaji hadi anashindwa kwenda kufanya make up masaluni.
aisee
 
Au pengine mwandishi amefanya hivi ili kujua alipo na anachofanya
 
Back
Top Bottom