Nimekutana na Z.Anton Ubungo, aiseee inasikitisha Sana

Hivi unafikili kuliimba jini mchezo likuache tu udunde mtaani lazima likuonyeshe
 
Naona ameamua kuongeza 1 nyingine, ili isomeke 110 badala ya 10, kweli paliungua moto, halafu alikuwa na kesi mahakamani wana mgogoro wa kiwanja na lijamaa limoja hivi, kesi ina zaidi ya miaka kumi jamaa linashindwa lakini bado linang'ang'ania, ubaya wa hii kesi wote ni kizazi cha wapigania uhuru, wengine wanadai kiwanja alipewa babu yao na mwalimu nyerere, mwingine anasema kabla ya mwalimu nyerere kumpa kiwanja babu yake zed anto kilikuwa cha ukoo wao. Kwa kifupi ni familia za mamwinyi wawili wanagombia kiwanja
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi hamjui game ni ngumu aisee!na mziki wetu wa bongo kama bigijiii tu unawahi kuisha ladha hata wanaowika saivi baada ya miaka kumi ijayo wasipoangalia watajikuta wamefulia tu.
 
Acha uongo Flame 110 unafikiri mchezo
Wewe unaujua ukweli ni up!?? Z anto ni kichwa sana yule dogo,sema watu wamezoea kulishwa matango pori. Frem zake zinaweza kuzidi hata hizo 110. We nenda tungi kigamboni kaulizie kuhusu z anto ndo utamjua.kuna mtu hapo juu kasema ana kesi ya kiwanja,hicho kiwanja ni sehemu alipomjengea mama yake,lkn ana nyumba nyingi tu ukiacha hizo na bado anajenga.
 
Back
Top Bottom