Nimekutana na Z.Anton Ubungo, aiseee inasikitisha Sana

Nimekutana na Z.Anton Ubungo, aiseee inasikitisha Sana

Nimemuona Z. Anton Ubungo, sio yule tena superstar wa binti kiziwi ama kweli mawingu sio watu wazuri, sijui mwenzake MB Dogg yupo wapi
Ni mawingu au Tale wasanii wote waliotoka tip top Tale alikuwa anaenda kuwazibia kusikikika nackia et
 
Mbona Jamaa nasikia ana mijengo kibao na frem za kutosha?
ZANTO.jpg
 
Jamaa Yuko poa tu kuna siku nimekutana nae kigamboni fremu zake zilitaka kuungua ilitokea shot ya umeme
 
Wewe sema tu hujazoea kukutana na star, so ukajikuta umechanganyikiwa
 
Mi nilizani huyo z. Anto ni member humu, kumbe..
 
Kale kademu kalikokuwa kwenye video ya Binti Kiziwi ni katamu aisee.
 
Back
Top Bottom