Nimekutana na Z.Anton Ubungo, aiseee inasikitisha Sana

Nimemuona Z. Anton Ubungo, sio yule tena superstar wa binti kiziwi ama kweli mawingu sio watu wazuri, sijui mwenzake MB Dogg yupo wapi
kafanya nini? sasa inawezekana vipi akawa vilevile kama wa binti kiziwi?wanyama na mimea hupitia mabadiliko kila leo...sasa nakushangaa unaposhangaa mabadiliko ya mnyama...

Halafu wewe ndiye yule producer? Kila mara ni kuanzisha thread....lakini utazoea tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…