kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Ana miliki niniJamaa yuko vzuri kiuchumi yule..
Ungeomba kupiga nae pichaNimemuona Z. Anto Ubungo, sio yule tena superstar wa binti kiziwi ama kweli mawingu sio watu wazuri, sijui mwenzake MB Dogg yupo wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona ameamua kuongeza 1 nyingine, ili isomeke 110 badala ya 10, kweli paliungua moto, halafu alikuwa na kesi mahakamani wana mgogoro wa kiwanja na lijamaa limoja hivi, kesi ina zaidi ya miaka kumi jamaa linashindwa lakini bado linang'ang'ania, ubaya wa hii kesi wote ni kizazi cha wapigania uhuru, wengine wanadai kiwanja alipewa babu yao na mwalimu nyerere, mwingine anasema kabla ya mwalimu nyerere kumpa kiwanja babu yake zed anto kilikuwa cha ukoo wao. Kwa kifupi ni familia za mamwinyi wawili wanagombia kiwanja
We umekuja kufuatilia ninWavulana wa dasalama buana kazi kufatiliana tu
Acha uongo Flame 110 unafikiri mchezoMbona yuko powah tu ana fremu zake zaidi ya 110 kigamboni
Wewe unaujua ukweli ni up!?? Z anto ni kichwa sana yule dogo,sema watu wamezoea kulishwa matango pori. Frem zake zinaweza kuzidi hata hizo 110. We nenda tungi kigamboni kaulizie kuhusu z anto ndo utamjua.kuna mtu hapo juu kasema ana kesi ya kiwanja,hicho kiwanja ni sehemu alipomjengea mama yake,lkn ana nyumba nyingi tu ukiacha hizo na bado anajenga.Acha uongo Flame 110 unafikiri mchezo
Nyie watoto wa juzi huenda msimjue, ndio maana umeuliza. Ni msanii wa bongo fleva.Z Anton ndo nani?
Aliimba binti kiziwi, ila nadhani viziwi hawakuusikia huo wimbo.
Aliimba binti kiziwi, ila nadhani viziwi hawakuusikia huo wimbo.
hahaa dah we mkuu etiNyie watoto wa juzi huenda msimjue, ndio maana umeuliza. Ni msanii wa bongo fleva.