Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
ukweli mchungu but huyo mtu atapatikana wapi kirahisi rahisi? vijana siku hizi sio wa sport sport
nipo Dar tukapime ugonjwa wa Ini,ngoma na magonjwa ya zinaa
nimpe Dyudyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukweli mchungu but huyo mtu atapatikana wapi kirahisi rahisi? vijana siku hizi sio wa sport sport
Mimi kwangu naona imekuwa too much mpaka simu yangu gb32 zimejaa nmeongeza external but wap so kiustaarabu wa mwanamke wa kiafrika sio sawa siunajua yale madudee yanaaamsha popo?hvi ngoja nkuulize kwani kuangalia porn ni vbaya au binadam mwenyewe ndio anafanya mambo mabaya?
Anajua japo hapendi but huwa namwambia ni kurefresh mind.Je, mumeo anajua kuwa upo na addiction ya porn?
Kama anajua, anafanyaje kukusaidia ili uache? Au nae ni mpenzi wa porno?
Watching porn goes hand in hand with masturbation, don't you masturbate after watching a few clips?
I used to watch porn, but was never addicted, once in a while I watch even to date but that doesn't make me an addict coz it happens only seldom, once in a very long time.[/QUO
That's why I,m tyn to get out of dea broda
Duh oga maji ya chumvi kujitakasa cc mshana jrMimi kwangu naona imekuwa too much mpaka simu yangu gb32 zimejaa nmeongeza external but wap so kiustaarabu wa mwanamke wa kiafrika sio sawa siunajua yale madudee yanaaamsha popo?
Too much is not good, try to reduce the frequency of visiting porn sites, delete a few whatsapp groups as you're trying to abstain, have enough intercourse with your man, keep yourself busy with other stuff.Anajua japo hapendi but huwa namwambia ni kurefresh mind.
Umeamua kuusambaza ugonjwa wako wa pono kabisa?Send me your contant then I send you link and its your decision to choose group from Afrca, Asia' America or Europe cause I have many of them bu I prefer the one with Tanzania porns.
Duh oga maji ya chumvi kujitakasa cc mshana jr
Siwezi kukujudge sana cz me huwa naangalia once ina very loong while js kamoja tu online baas...ukiwa na mwanaume wako anakusatisfy sio rahisi
Wekeza mda mwng kwny kazi, biashara,mazoezi hata kazi za mikono,spend free time na marafiki au hata kuwindowshop au kusoma vitabu,ikifika jioni waweza kuwa na routine ya beauty Treatments ama ibada...ama kuchat tu magrup ya kawaida au endelea na kazi za ofisini ...by sa 3,4 unakua umechokaa mbayaa utalalaa tuu...
Jiweke bizeee yanii...pangua ht nguo kabati zima anza kupasi kwa awamu upya,deki nyumbani, wafanyie usafi family members etc,yani jipe kazi kazi extra tuu[/QUOTE
Nashukuru shost kwa ushauri wako mororo!
Ratiba yangu kwa siku ipo naamka saa 12 asubh najiandaa kwenda job
Saa2 huwa nakuwa na meeting ofisini mpaka saa4
Saa4 kamil hadi na nusu ni break fast yani hapo piga ua lazima niangalie moja mana nkiingia tu whatsApp huku napata kifungua kinywa nakuta yametumwa kibao mara nyingi kujinyima siingii huko kabisaa but kama nipo ovyo siunajua wengine siku nyingine tunaamka vibayaa lazima nichungulie moja ofisini fasta na kuendelea na majukumu.
Saa4 na nusu to saa7 ni lunch sasa hapo piga galagaza lazima niingie tena labda nikiwa na marafiki but maranyingi lunch napenda peke angu coz ofisi yangu ipo separate na wengine kutokana na rank za mgawanyo wa kazi, so nkishakula ugali samaki juice na maji nasushia na moja ndo najiona nipo sawa na wala hazinitumi vibaya but I only do this for fun.
Jioni nikitoka job saa kumi au 11 ikitokea mara nying saa12 nimefika home so nafanya shuhuli zangu za om kama unavyojua.
Ikifika saa2 nakuwa nishaoga, pika nk namsubiri shemela wako siunajua watu wa vyupa moja moto moja baridi wakati mwingine anarudi saa5/6.
So mda mwingi nakuwa bored nimeshaongea nimechoka so natumia mda kuperuz blogs tofaut na kuchezi habar so baada ya hapo ndio natamani kulala nikilala bila kucheck tena hizi movie usingizi hauji ng'oo!
Mia Khalifa...
Anapigwa miti huku kavaa ushungi..
Kiroho, athari za ngono na musturbation ni mbaya mnooo!Kama title inavyojieleza, yani nilianzaga kama utani baada ya kuona link ya sex chart kwenye group flani la commedy nikajoin ili nijue what's there siunajua tena ukiwa curious you always wana know.
Kwa wanaojua magroup ya WhatsApp ya ngono watakuwa mashahidi wa hili kwani kunatumwa video nyingi sana na link za magroup mengine kama hayo kibao.
Hapa nilipo wapendwa nina more than 7 sex charts group katika WhatsApp mpaka aibu mtu kushika simu yangu maana nimeweka app lock kote sasa huwa wanajiliza kwanini ameweka mipasswords yote hiyo atakuwa si mwaminifu.
Nimejitahidi niache tabia hii lakini imenishinda tabia kwani mara nyingi night ndio najikuta very bored najiliwaza kupitia zile video chafu.
Ilifika kipindi nika-leave yale magroup yote but nimejikuta nikiomba link tena na kujiunga upya na kuendelea kufurahia ile vita pendwa hata na wavivu na waoga.
Wapendwa nisaidieni nifanye nini ili niweze kuacha kabisa kutizama video za ngono.
Mia khalifa
kwa hyo ni addiction ya kutzama au unakua na nyege mda wote unataman kulalwa?kuna vtu viwili kutzama na kuamsha popo.....so wewe unapenda kudinywa si ndio?Mimi kwangu naona imekuwa too much mpaka simu yangu gb32 zimejaa nmeongeza external but wap so kiustaarabu wa mwanamke wa kiafrika sio sawa siunajua yale madudee yanaaamsha popo?
We ni muathiroka wa kiwango gani {kwa miaka mingapi}kuacha punyeto ni rahisi sana kama ukidhamiria! mfano mim mwaka uliopita nilikuwa addicted sana. Njia nyepesi niliyotumia ni kwamba kwenye simu yangu aina ya iPhone kuna sehem kweny setting unarestrict adult content websites, hivyo nilichofanya nilimwambia jamaa kuwa aniwekee password yoyote tu na asiniambie ameweka password gan, na siku nikitaka kumuomba password bas aninyime kbsa!
kumbuka ukiweka password wew mwenyewe kuna siku utaiotoa tu ili uangalie porns! lkn kama rafiki yako ndo kaweka na hajakuambia ni password gan bas siku za mwanzo utataman sana kuijua lakn kadiri siku zinavyoenda na jamaa kukunyima password ndivyo unazidi kusahau kbsa kufatilia porns! Ndugu zangu hii ndo njia niliyoona nyepes kuitumia, mpka leo nimesahau porns na simu yangu aliallow adult contents yoyote ile!