boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,397
Pole usipende kukaa peke yakoKama title inavyojieleza, yani nilianzaga kama utani baada ya kuona link ya sex chart kwenye group flani la commedy nikajoin ili nijue what's there siunajua tena ukiwa curious you always wana know.
Kwa wanaojua magroup ya WhatsApp ya ngono watakuwa mashahidi wa hili kwani kunatumwa video nyingi sana na link za magroup mengine kama hayo kibao.
Hapa nilipo wapendwa nina more than 7 sex charts group katika WhatsApp mpaka aibu mtu kushika simu yangu maana nimeweka app lock kote sasa huwa wanajiliza kwanini ameweka mipasswords yote hiyo atakuwa si mwaminifu.
Nimejitahidi niache tabia hii lakini imenishinda tabia kwani mara nyingi night ndio najikuta very bored najiliwaza kupitia zile video chafu.
Ilifika kipindi nika-leave yale magroup yote but nimejikuta nikiomba link tena na kujiunga upya na kuendelea kufurahia ile vita pendwa hata na wavivu na waoga.
Wapendwa nisaidieni nifanye nini ili niweze kuacha kabisa kutizama video za ngono.
Nafikir ww ni msichana tafuta mwenza mkiwa wote hutokuwa na huo mda wa kuangalia hayo mambo