jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
hahahahahahah hata kufikiri kujaribu sithubutu, mimi kwa kabila ni mchagga mkuu naweza zimia nikiwaza kuhongaUkiwapa hela vijana wanafanya kama utakavyo hata chumvini hawaoni kinyaa kama sisi wahenga. Angalia hiyo clip utaona dogo janja midomo myekundu karibu inatoa damu (ingawa tulielezwa Uyowa anaishi kwa matumaini). Usichezee bahati yako na pesa ipo kwa ajili hiyo. Kama hujawahi hembu tafuta mmoja hapa JF uone utakavyoinjoi lakini nakushauri iwe kwako si guest
hahahahahahah