Mkuu inaonekana wewe ndio shetani anakuambia fanya asikupite huyu
Uliposema she's beautiful halafu tena ukasema kamenona katoto cheupee
Hapo unasubiri go ahead ya wazinzi hapa ili upate support zao
Ila mimi kama mzazi na nina watoto kama hako unakokazia na kusubiri Baraka za humu kwa kweli nakushauri ukape amani kabisa tena wewe ndio uwe kama mzazi na kukafundisha mema kwani anataka awe doctor
Sijui kama ni maisha yako au ni hadithi
Lakini unachotafuta sio kizuri
Kaa mbali nae au kuwa kama mlezi mwenye maadili
Sio kama nakukaripia lakini nimepitia situation za hivi zaidi ya mara tano watoto wa jamaa wakija nyumbani na tizama yangu tu wanaona kama baba yao anawaangalia
Siwezi kula vitoto vya jamaa hata mfanyakazi wa ndani
Nisamehe kwa maneno kuntu ila naona ni uzee pia
Uwe na jioni njema, na usitoke mapema kisa unaogopa wife atashuku hapana, unaogopa utakarukia mkiwa peke yenu don't